Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Newton First law of Motion.....

An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!!

kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa....

#kitu chochote kilichotulia kitaendelea kutulia hadi pale kitakapo sukumwa(kusumbuliwa) na kani msukumo iliyozidi kiwango#

Ukitumia grader yafuatayo yatatokea

👉Kipande kilichoegemea pale Tony Touch kitaporomoka kwa kasi
👉 Mzigo uliopo juu na kasi utapelekea kuvunjika zaidi kwa vyumba vilivyopo chini
👉 Madhara ya mivunjiko au kubanwa kwa watu yatatokea(Yaani utakuwa umetengeneza 2nd collapse)
👉 kwa hiyo badala ya kuokoa utakuwa umewamalizia survivals
 
Brother, ipo option ya pick and carry, hizo equipment hazisogea pale Bali zinanyoosha mikonga kutoa heavy loads kuclear surface ili kupata points za kudrill either kupeleka hewa au kutengeneza njia maana watu wamenasa chini.

Sidhani kama inazungumziwa kutembeza mitambo juu ya kile kifusi, maana kila mtu anajua unakuwa unadisturb ardhi na kuongeza uzito juu.
 
Yule jamaa aliyeokoa watu watano alisema wakitumia greda jengo litatitia na kweli tumeona
Huo ni ukweli wenye back up ya kisayansi.
Waokoaji wasiendeshwe na clips za kina Ayo na Manara n.k bali wa-stick to the plan.
Iwapo Oxygen inaweza kupenyezwa na sasa maji na glucose basi heri tuwaombee wenzetu waliopo chini na gizani.
 
Brother, ipo option ya pick and carry, hizo equipment hazisogea pale Bali zinanyoosha mikonga kutoa heavy loads kuclear surface ili kupata points za kudrill either kupeleka hewa au kutengeneza njia maana watu wamenasa chini.

Sidhani kama inazungumziwa kutembeza mitambo juu ya kile kifusi, maana kila mtu anajua unakuwa unadisturb ardhi na kuongeza uzito juu.
Umeisoma hiyo 1st Law ya Newton??au google animation kuhusu hiyo kanuni.
 
Sasa hivi ni 24 hrs...utulivu na akili vinahitajika.
Wokozi wa namna hii huchukua muda ila mkitulia mafanikio ni makubwa
sana, na ukizingatia kuna taarifa ilisema ghorofa inazidi kushuka, hivyo ni muhimu kuwa watulivu na akili, muhimu kuhakikisha walio chini kama wanaweza kupata hizo mitungi ya oksijeni na vitu vingine vya kuwafanya wasurvive basi wapewe
 
Kwahiyo ukitoa mawe kwa mpangilio, unakuwa against na hiyo law of motion?
Kuna muda ikifika 2nd collapse itatokea kutokana na kupunguzwa kwa mawe pamoja na harakati za kugonga na kukata ....kuta.Mategemeo hapo hadi muda huo ukifika utakuwa umefanikiwa kuokoa wengi zaidi.
A sudden force kama ya kutumia grader inaweza kumaliza kila kilichobakia.

Kwa hiyo Law ipo palepale
 
Newton First law of Motion.....

An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!!

kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa....

#kitu chochote kilichotulia kitaendelea kutulia hadi pale kitakapo sukumwa(kusumbuliwa)#

Ukitumia grader yafuatayo yatatokea

👉Kipande kilichoegemea pale Tony Touch kitaporomoka kwa kasi
👉 Mzigo uliopo juu na kasi utapelekea kuvunjika zaidi kwa vyumba vilivyopo chini
👉 Madhara ya mivunjiko au kubanwa kwa watu yatatokea(Yaani utakuwa umetengeneza 2nd collapse)
👉 kwa hiyo badala ya kuokoa utakuwa umewamalizia survivals
Toa solutions sasa mana kila action kuna reaction yake 3rd law
 
Back
Top Bottom