Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

Kuna muda ikifika 2nd collapse itatokea kutokana na kupunguzwa kwa mawe pamoja na harakati za kugonga na kukata ....kuta.Mategemeo hapo hadi muda huo ukifika utakuwa umefanikiwa kuokoa wengi zaidi.
A sudden force kama ya kutumia grader inaweza kumaliza kila kilichobakia.

Kwa hiyo Law ipo palepale
Kama hiyo ghorofa iliungana na ghorofa nyingine, ukiangalia kama iliegemea ghorofa nyingine, haikwenda chini direct... Basi wangejaribu kutumia upande ilipoegemea ili wapate upenyo wa kuingia ndani kama inawezekana,

Lakini itakuwa ngumu kama wahanga wamezungukwa na kifusi...
 
Kingine, muokoaji yeyote yule anatakiwa awe katika hali ya kuhofia kupoteza roho ya mtu mwingine kuliko yake yeye, sijui kama hili lipo kwa waokoaji wetu na hata kama lipo sidhani kama katika hali ya juu kiasi cha kumfanya akose raha akiona mtu anakufa haliyakuwa angeweza kumpa msaada

Kunaweza kukawa na chance, lakini mtu anahofu yeye ndio atapoteza uhai... Ujasiri unahitajika,
 
Kama hiyo ghorofa iliungana na ghorofa nyingine, ukiangalia kama iliegemea ghorofa nyingine, haikwenda chini direct... Basi wangejaribu kutumia upande ilipoegemea ili wapate upenyo wa kuingia ndani kama inawezekana,

Lakini itakuwa ngumu kama wahanga wamezungukwa na kifusi...
Kosa dogo tu huo upande ulioegamia unaweza kushuka kwa kasi ya ajabu.
Hapo ni mdogo mdogo kama wana-Appollo wa kule mererani
 
Sasa hivi ni 24 hrs...utulivu na akili vinahitajika.
Wokozi wa namna hii huchukua muda ila mkitulia mafanikio ni makubwa
Njoo hapa eneo la tukio utoe hayo maelekezo,sio unademka hapo sebulen kwa shemeji tu nakutoa maelekezo ya google0
 
Newton First law of Motion.....

An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!!

kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa....

#kitu chochote kilichotulia kitaendelea kutulia hadi pale kitakapo sukumwa(kusumbuliwa) na kani msukumo iliyozidi kiwango#

Ukitumia grader yafuatayo yatatokea

👉Kipande kilichoegemea pale Tony Touch kitaporomoka kwa kasi
👉 Mzigo uliopo juu na kasi utapelekea kuvunjika zaidi kwa vyumba vilivyopo chini
👉 Madhara ya mivunjiko au kubanwa kwa watu yatatokea(Yaani utakuwa umetengeneza 2nd collapse)
👉 kwa hiyo badala ya kuokoa utakuwa umewamalizia survivals
Unless acted on by unbalanced force,means utumie kifaa Chenye nguvu zaidi or uchimbe against a gravitational force
 
Mhh ndugu hilo Grader litagandamiza na kuongeza majanga zaidi.
Watu wanaongelea motor grader ambapo kiuhalisia hapo haihitajiki kabisa mashine za kufanya ktk matukio kama haya ni excuvator yenye mkono wa makucha, kukamatia, kunyanyua na kuweka pembeni. Winch za kunyanyulia na back hoe kwq kazi za hapa na pale
 
Unless acted on by unbalanced force,means utumie kifaa Chenye nguvu zaidi or uchimbe against a gravitational force
hata kwa kutoa kidogo kidogo kuna muda forces hazitabalance hivyo litacollapse ...ingawa by that time at least utakuwa umewaokoa wengi zaidi kuliko a sudden unbalanced force
 
Back
Top Bottom