mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Muulize mleta madaMhh ndugu hilo Grader litagandamiza na kuongeza majanga zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize mleta madaMhh ndugu hilo Grader litagandamiza na kuongeza majanga zaidi.
Ahahaha,ndio kitu gani hiki umeandika??!Umesomea Bookepeeng huwezi elewa
Watu wanaongelea motor grader ambapo kiuhalisia hapo haihitajiki kabisa mashine za kufanya ktk matukio kama haya ni excuvator yenye mkono wa makucha, kukamatia, kunyanyua na kuweka pembeni. Winch za kunyanyulia na back hoe kwq kazi za hapa na pal
Ukowasikiliza wajuaji wa mitandaoni utaangamiza wengiNdio ndio mkuu kwa kile kilichotokea kule bukoba
Huenda mtoa mada alimaanisha vibrations/mitetemoIli swala Tumuulize Engeener abdulrahman Said Eti Hii kitu ni kweli
Anhaa Hapo Sawa ChiefHuenda mtoa mada alimaanisha vibrations/mitetemo
Sina majibu sahihi juu ya hilo mkuu
Mkuu point Yako imelenga kuokoa watu wengi au kuhakikisha jengo alianguki????......kama ni kuokoa watu it's obvious lazma utake risk(kutumia excavator)....ila ukitaka jengo lisianguke.....utapoteza watu wengi maana the more time it takes the more people youu loosehata kwa kutoa kidogo kidogo kuna muda forces hazitabalance hivyo litacollapse ...ingawa by that time at least utakuwa umewaokoa wengi zaidi kuliko a sudden unbalanced force
Unatake risk kwenye uhai wa mtu?Mkuu point Yako imelenga kuokoa watu wengi au kuhakikisha jengo alianguki????......kama ni kuokoa watu it's obvious lazma utake risk(kutumia excavator)....ila ukitaka jengo lisianguke.....utapoteza watu wengi maana the more time it takes the more people youu loose