Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Noted..1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu.
2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa.
Mark my word.
kila jambo linaanza kama mzaha next inakuwa ni agenda.Usichukulie seriously vitu visivyokuwa serious
Mimi nilishahamia EPL ya Egypt toka misimu minne nyuma, lakini kwa kilichotokea kwenye maamuzi ya kumpata mshindi wa ligi ni mbeleko iliyo waziToka nimehamia BERKANE nimeanza kunenepa, ligi yetu haina makandokando kama ligi ya ubwela ubwela
dah hawa nao wamezidi...sijui kwetu nyuma mwiko itakuwajeMimi nilishahamia EPL ya Egypt toka misimu minne nyuma, lakini kwa kilichotokea kwenye maamuzi ya kumpata mshindi wa ligi ni mbeleko iliyo wazi
Africa is dark dark dark continent
Mimi nilishahamia EPL ya Egypt toka misimu minne nyuma, lakini kwa kilichotokea kwenye maamuzi ya kumpata mshindi wa ligi ni mbeleko iliyo wazi
Africa is dark dark dark continent
huku derby itapigwa endapo serikali ikiamua kuingiliadah hawa nao wamezidi...sijui kwetu nyuma mwiko itakuwaje
Huko kwenu nasikia BUSARA ina nguvu kuliko KANUNI..huku derby itapigwa endapo serikali ikiamua kuingilia