Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Kuna mtu anaitwa mzee Yusuph yule muimba taarabu,nasikia ana nyumba kadhaa hapa mjini. Sijui kama aliwahi kuonyesha watu.

Unaposema asituonyeshe una maana gani? nyinyi washabiki au jamii yote? Inawezekana akaonyesha watu wake wa karibu.
Mzee Yusuph tofauti Na wasanii wa bongofleva, msanii wa bongofleva Na bongomuvi hata gari la kuhongwa anaonyesha
 
umeshirikisha ubongo wako katika kutoa hii comment?

Kwani ni kanuni kuwa msanii akuorodheshee wewe mali zake?
Ukweli Ni kwamba Neema wa Mitego hawezi kumiliki nyumba NNE tusizione hata insta, mwache aendelee kuwadanganya wazembe
 
Inawezekana akawa na pesa hizo watanzania tunafikiria hapa mbele ya pua tu. huyu jamaa sialishawahi kupromote vodacom kwenye comercials zao pesa inawezekana anazo
 
umeshirikisha ubongo wako katika kutoa hii comment?

Kwani ni kanuni kuwa msanii akuorodheshee wewe mali zake?

Halafu utakuta hawahawa msanii akilosti ndo wanaongea balaa....kumbe wakifanikiwa pia ni tabu.Akikuta gazeti la udaku lina title 'Ney ashindia mihogo' ataamini bila hata ushahidi wa kueleweka.Lakini akiambiwa ney ana utajili,yeye wa kwanza kupinga,eti mpaka aoneshwe!

Ni miroho ya husuda tu....kupenda maanguko ya wengine na kuchukia maendeleo yao.

Mtu amesema hapigi show ya chini ya milioni 5.Kwa mwezi akipiga show 10 ana milioni hamsini.Ana miradi ya bajaji,daladala,maduka etc.Ana nyumba zaidi ya mbili za gharama.Ana magari natatu ya kutembelea.Atakosa utajili wa thamani ya milioni elfu moja huyu mtu?

Keep on doing real the true boy.One day wataelewa tu hata wagumu kuelewa.
 
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani?

Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.
YULE MCHAGA ANA AKILI MI HUWA NAPENDA KUSIKIZA ANACHOSEMA AKIWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI


BY THE WAY KWANINI UNAKATAA ? KUWA HANA?
 
Hizo nyumba umethibitisha? Usiamini kila unachoambiwa, au hujui Yule ni msanii? Ile nyumba ya mil 400 ya Wema ikowapi?
we umethibitisha ni upuuzi kubisha au kukubali kitu ambachi huna uhakika nacho.leo masanja ni tajiri unazijua mali zake.
 
Utajir was billion 1 half nyumba zake hazijaisha....labda billion ya zimbabwe
Ww unajua nyumba IPI haijaishaa mbonaa hilii gorofa analojengaa hapa karibu na cc mbezi ya kimaraa limeshakamiliii kila kitu ,achaa umbeya chunguza kwanza
 
Labda nkudokeze
N mwanamziki, Ana bajaji kbao,pikipiki name Ana madua, anafanya mambo kwa akili we we.
Mwongeee ana saloon za maana ,pia huku mbezii kajengaa bonge LA gorofa tatu lipooo good naona ndio anataka amiaa
 
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani?

Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.
Naamini aliongea kwa takwimu au vizibitisho, nakuomba ubishe kwa takwimu pia
 
Hela yake ni siri yake..Utajiri wake tunaangalia mali zake anazomiliki sio pesa
 
huyo boya ana Akili sana za maisha ndo maana namkubali, ni "real hustler" kawaacha mbali sana hawa wengine wauza sura.
 
Ukweli Ni kwamba Neema wa Mitego hawezi kumiliki nyumba NNE tusizione hata insta, mwache aendelee kuwadanganya wazembe
Nenda Youtube watafute Bongo5 kuna Interview walimfanyia uone!
 
Nyumba 4=milioni 800
Vigari 5=milioni 100
Taslimu benki= milioni 100
Anaweza kuwa nayo hii kitu jamani

Vigari vitano.

Porte millioni 7
Murano millioni 27
Markx millioni 16
Ile nyingine milioni 18
Jumla millioni 68. Hizo gari tano zote zina thamani ya gari moja tuu Prado vx used.

Hakuna nyumba ya three bedroom yenye thamani ya millioni 200 kwa moja.

Ngoja tukusaidie sisi tuliowahi kujenga.

Three bedroom house maximum ni milioni 85 hapo jumlisha na bei ya kiwanja ( kwa waliojenga kuanzia mwenge kwenda tegeta, ubungo kwenda kimara, gongo la mbali (mboto) kwenda chanika.

Ghorofa moja ya two to three bedroom ni milioni 120 kama utatumia nguzo za matofali ya kulaza na milioni 150 mpaka 170 kama utatumia nguzo za zege. Soo huo utoto wa kudanganyana nendeni instagram.

NI WACHACHE SANA TUNAOWEZA KUSIMAMA KIFUA MBELE NA KUSEMA TUNA UTAJIRI WA BILIONI MOJA NA USHEE. RIZIKENI NA MNACHOKIPATA ACHENI US*****E
 
Back
Top Bottom