Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Yusuph tofauti Na wasanii wa bongofleva, msanii wa bongofleva Na bongomuvi hata gari la kuhongwa anaonyeshaKuna mtu anaitwa mzee Yusuph yule muimba taarabu,nasikia ana nyumba kadhaa hapa mjini. Sijui kama aliwahi kuonyesha watu.
Unaposema asituonyeshe una maana gani? nyinyi washabiki au jamii yote? Inawezekana akaonyesha watu wake wa karibu.
Ukweli Ni kwamba Neema wa Mitego hawezi kumiliki nyumba NNE tusizione hata insta, mwache aendelee kuwadanganya wazembe
umeshirikisha ubongo wako katika kutoa hii comment?
Kwani ni kanuni kuwa msanii akuorodheshee wewe mali zake?
YULE MCHAGA ANA AKILI MI HUWA NAPENDA KUSIKIZA ANACHOSEMA AKIWA KWENYE VYOMBO VYA HABARINey wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani?
Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.
we umethibitisha ni upuuzi kubisha au kukubali kitu ambachi huna uhakika nacho.leo masanja ni tajiri unazijua mali zake.Hizo nyumba umethibitisha? Usiamini kila unachoambiwa, au hujui Yule ni msanii? Ile nyumba ya mil 400 ya Wema ikowapi?
Ni chuki ndo nahisi...by WyreView attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Ww unajua nyumba IPI haijaishaa mbonaa hilii gorofa analojengaa hapa karibu na cc mbezi ya kimaraa limeshakamiliii kila kitu ,achaa umbeya chunguza kwanzaUtajir was billion 1 half nyumba zake hazijaisha....labda billion ya zimbabwe
Mwongeee ana saloon za maana ,pia huku mbezii kajengaa bonge LA gorofa tatu lipooo good naona ndio anataka amiaaLabda nkudokeze
N mwanamziki, Ana bajaji kbao,pikipiki name Ana madua, anafanya mambo kwa akili we we.
Naamini aliongea kwa takwimu au vizibitisho, nakuomba ubishe kwa takwimu piaNey wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani?
Labda aniambie kazipata kwa njia nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho.
Punda wa sembe asiyesafiri kwenda nje?Pundaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
Nenda Youtube watafute Bongo5 kuna Interview walimfanyia uone!Ukweli Ni kwamba Neema wa Mitego hawezi kumiliki nyumba NNE tusizione hata insta, mwache aendelee kuwadanganya wazembe
Nyumba 4=milioni 800
Vigari 5=milioni 100
Taslimu benki= milioni 100
Anaweza kuwa nayo hii kitu jamani
hahaha kuna tajiri mmoja duniani hana simu anatumia gari ya mwaka 47 na ni tajir top 10View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...