kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Nachofahamu MTEGO ni mchongo lakini wanawake nao wanamitego Yao kwa wanaumeMwanaume unajiitaje wa mitego ?
Mf,profesa kabudi palamagamba ,alitegwa sana na wanafunzi wakike wakati anafundisha kuvaa nguo fupi na kuonekana kwa chupi kwake ,ule ni MTEGO aingie Kingi Binti apate max zabure
rudia hapa
KAguta mseven ,kaweka MTEGO MITEGO kwa wapinzani nisahihishe kama nimekosea