BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Sijui nimeoteshwa au vipi...ila next game pale France,Madrid anakula za kutosha tuuu....PSG 4-1 Madrid..
hifadhi hii comment
HILI ULILOANDIKA NDIO TATIZO LA NEYMAR KUTAFUTA UFALME,AACHE USICHANA SIO UTOTO TU.Cavani kaumia sana kuona ivo
NEYMAR BADO HAJAWA MVULANA BADO MADAKTARI WATUAMBIE JINSIA YAKE,NI KAPUUZI KENYE MAMBO YA KIKE.Nermar kacheza mpira wakivulana wakati anacheza na wanaume
hata hawaongelei assist ya goli la psg. daah, bnadam bwanaNeymar ni mchezaji mzuri sana basi tu ni wivu wa kimpira mlio nao mashabiki wa barca na wengine,kajitahidi sana kwenye ile gemu ila kwa kuwa mliingia kwa kumkosoa huwezi ziona jitihada zake,Makosa ya PSG yalikuwa kwa kocha kwenye ufanyaji wa sub,alipomtoa Cavan nilidhani atamuingiza mshambuliaji kumbe ni kiungo sasa Neymar umlaum kwa lipi. Hata Mimi siku wahi kumpenda neymar na brazili yake ila dogo anaujua saaaana,mbona mbappe naye aliharibu tu,
HILI ULILOANDIKA NDIO TATIZO LA NEYMAR KUTAFUTA UFALME,AACHE USICHANA SIO UTOTO TU.
Huyu Dg anapaishwa sana kuliko hata makombora ya Korea kaskazini.
Watu wameingia kwenda kumkosoa neymar na ujishaenda kwa malengo kama hayo huwezi ona zuri hata mojahata hawaongelei assist ya goli la psg. daah, bnadam bwana
huyu dogo anaujinga mwingi sana. alikuwa na opponent mdhaifu(Nacho) lakini showoff nyingi. wangeconcentrate kupitisha mpira kwa Mbappe pengine mambo yangekuwa tofauti kidogo. mpaka goli la kwanza ndiyo wakagundua umuhimu wa Mbappe.
mbona neymar amejitahidi sana leo, hivi nyinyi mumeangalia mpira wa wapi? sababu ya kufungwa ni kupotea kwa rabiot daika za mwisho, alipotea mpaka pasi anazopiga zilikua hazifika pia alikua hawezi tena kukaba
Neymar utoto mwingi ila uwezo anao na alicheza vizuri tu.. tatizo Mbappe ana chenga za kubahatisha na cavani lazima akose goli 4 ndo afunge 1. Hawa wawili ndo wanamuangusha neymar
Kama hawa psg wakimuweka Neimar nje na wakaamua kucheza soka la ushindani basi naamini wataweza kuwafunga. Neimar anaigharimu sana timu
Hebu tukumbushe hayo magoli aliyokosa Cavani.
Infact PSG kosa kubwa walilofanya nikumtoa Cavani. Mpira ukawa haukaitena mbele na ndipo walipoanza kuzidiwa.
Walihitaji kumtoa neymar mapema tu wamuingize Di maria Real kwa uhakika angelala.
We unaekewa Beki Nacho halafu bado unapotea uwanjani halafu ati ndio mchezaji ghali duniani na analipwa mshahara mkubwa pia.
Kama Di maria angelimpata Nacho kwenye upande wake kwa uchache angeyatoa magoli japo mawili Nacho.
Di maria serius jamaa ni chance creater, Jamaa anatia michuzi ya uhakika na hapo ndipo utakapomuona Cavani anavojitwika vichwa.
PSG in wachezaji wenye vipaji wengi sana. Di maria, Cavani, Pastore, Veratti, Draxler, Mbappe. Lakin tatizo kubwa wote wanashindwa kupata uhuru wa kutosha wa kucheza mpira kwasababu ya Neymar, Mipira yito inalazimishwa apewe yeye Kila kitu anataka afanye yeye mpaka Penalty, free kick, Corner.
And he has money...what do you have
Mkiwa mnamulaume Neymar mkumbuke uwezo wa opponents zao pia(Kina Marcelo, Isco, Asensio, Casemiro)
2nd leg tutaona PSG watavyokua wanafungua kwa kasi huku Madrid wakipiga counter za kutosha.