Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

Sijui nimeoteshwa au vipi...ila next game pale France,Madrid anakula za kutosha tuuu....PSG 4-1 Madrid..

hifadhi hii comment

Ndoto za mchana hizo.mi mwenyewe nilijua madrinyonyo atapigwa lakini haikuwa hivyo. Sasa kwa taarifa yako morocco team wataipiga PSG kwao. Baada ya hapo MADRID Anaaga mashindano! End of the day Mfalme wa soka duniani kuwahi kutokea pamoja na timu yake kwa ujumla "wanaondoka na Ndoooooooo.
 
Naymar alicheza vizuri sana sema beki wa psg walifanya makosa mengi sana. Pia kocha kumwacha nje T.Silva ambaye ni kiongozi na beki mzoefu alifanya kosa kubwa sana.

Tatu baada ya dk 79 kumtoa cavan na kumwingiza beki lilikua kosa jingine afadhali angemtoa cavan na kumwingiza mtu kama lassana diara ambaye ni kiiongo mkabaji mzuri.
 
Neymar ni mchezaji mzuri sana basi tu ni wivu wa kimpira mlio nao mashabiki wa barca na wengine,kajitahidi sana kwenye ile gemu ila kwa kuwa mliingia kwa kumkosoa huwezi ziona jitihada zake,Makosa ya PSG yalikuwa kwa kocha kwenye ufanyaji wa sub,alipomtoa Cavan nilidhani atamuingiza mshambuliaji kumbe ni kiungo sasa Neymar umlaum kwa lipi. Hata Mimi siku wahi kumpenda neymar na brazili yake ila dogo anaujua saaaana,mbona mbappe naye aliharibu tu,
hata hawaongelei assist ya goli la psg. daah, bnadam bwana
 
Huyu Dg anapaishwa sana kuliko hata makombora ya Korea kaskazini.

Na wanaompaisha zaidi ni wale wanaoichukia Barca. Mimi ni Barca fans, nilitamani mno madrid ipigwe lakini kwa usharobaro wake huyu dogo imewagharimu mno psg. Siku anaondoka Barca kwakweli am so happy maana ni mbinafsi sana, na kujiona sana hata cr7 sio hivyo tena.....Inshort huyu dogo ni nuksi/mkosi katika timu. So Psg wasitaraji ubingwa wowote chini ya huyu dogo , labda aaanzie benchi.
 
Nimechek game yao Leo na Strasbourg aisee dogo anajua sana
 
huyu dogo anaujinga mwingi sana. alikuwa na opponent mdhaifu(Nacho) lakini showoff nyingi. wangeconcentrate kupitisha mpira kwa Mbappe pengine mambo yangekuwa tofauti kidogo. mpaka goli la kwanza ndiyo wakagundua umuhimu wa Mbappe.

Tatizo kubwa la PSG ni kuwa wanalazimisha lazima mashambulizi yao yapitie kwa Neymar. Na wakati kiukweli neymar kwenye Big Games anastraggle mno.
Badala ya kujenga timu wao wanalazimisha kudeal na Individual. Jamaa anaicost sana team. Hata Cavani amepungua sana kufunga ukilinganisha na mwaka jana kwasababu yake. Ni very selfish player.

Wameyapanda wacha wayavune.
 
mbona neymar amejitahidi sana leo, hivi nyinyi mumeangalia mpira wa wapi? sababu ya kufungwa ni kupotea kwa rabiot daika za mwisho, alipotea mpaka pasi anazopiga zilikua hazifika pia alikua hawezi tena kukaba

Rabiot alipotea daakika za mwisho Na Neymar je? Yeye ndio playmaker lakini umeshindwa kumtengenezea striker wake hata nafasi moja ya wazi ndani ya game nzima.
 
Neymar utoto mwingi ila uwezo anao na alicheza vizuri tu.. tatizo Mbappe ana chenga za kubahatisha na cavani lazima akose goli 4 ndo afunge 1. Hawa wawili ndo wanamuangusha neymar

Hebu tukumbushe hayo magoli aliyokosa Cavani.
Infact PSG kosa kubwa walilofanya nikumtoa Cavani. Mpira ukawa haukaitena mbele na ndipo walipoanza kuzidiwa.
Walihitaji kumtoa neymar mapema tu wamuingize Di maria Real kwa uhakika angelala.

We unaekewa Beki Nacho halafu bado unapotea uwanjani halafu ati ndio mchezaji ghali duniani na analipwa mshahara mkubwa pia.
Kama Di maria angelimpata Nacho kwenye upande wake kwa uchache angeyatoa magoli japo mawili Nacho.
 
Kama hawa psg wakimuweka Neimar nje na wakaamua kucheza soka la ushindani basi naamini wataweza kuwafunga. Neimar anaigharimu sana timu

Di maria serius jamaa ni chance creater, Jamaa anatia michuzi ya uhakika na hapo ndipo utakapomuona Cavani anavojitwika vichwa.
PSG in wachezaji wenye vipaji wengi sana. Di maria, Cavani, Pastore, Veratti, Draxler, Mbappe. Lakin tatizo kubwa wote wanashindwa kupata uhuru wa kutosha wa kucheza mpira kwasababu ya Neymar, Mipira yito inalazimishwa apewe yeye Kila kitu anataka afanye yeye mpaka Penalty, free kick, Corner.
 
PSG wakiendelea kumuangalia Neimar kutaka matokeo kwao itakuwa ngumu sana labda acheze then atoke aingie mapafu ya mbwa DI MARIA hapo mpira utanoga ila Neimar wamefungwa anazidi kukaa na mpira na kupoteza muda utegemee kuwatoa madrid!!
 
Hebu tukumbushe hayo magoli aliyokosa Cavani.
Infact PSG kosa kubwa walilofanya nikumtoa Cavani. Mpira ukawa haukaitena mbele na ndipo walipoanza kuzidiwa.
Walihitaji kumtoa neymar mapema tu wamuingize Di maria Real kwa uhakika angelala.

We unaekewa Beki Nacho halafu bado unapotea uwanjani halafu ati ndio mchezaji ghali duniani na analipwa mshahara mkubwa pia.
Kama Di maria angelimpata Nacho kwenye upande wake kwa uchache angeyatoa magoli japo mawili Nacho.

Mkuu umeongea ukweli mtupu, ataekupinga ujuwe hakutazama mpira au pengine hajui mpira. God bless you
 
Di maria serius jamaa ni chance creater, Jamaa anatia michuzi ya uhakika na hapo ndipo utakapomuona Cavani anavojitwika vichwa.
PSG in wachezaji wenye vipaji wengi sana. Di maria, Cavani, Pastore, Veratti, Draxler, Mbappe. Lakin tatizo kubwa wote wanashindwa kupata uhuru wa kutosha wa kucheza mpira kwasababu ya Neymar, Mipira yito inalazimishwa apewe yeye Kila kitu anataka afanye yeye mpaka Penalty, free kick, Corner.

Hoja zako zimeenda shule.yani umemaliza kila kitu! Thank so much!
 
Mkiwa mnamulaumu Neymar mkumbuke uwezo wa opponents zao pia(Kina Marcelo, Isco, Asensio, Casemiro)

2nd leg tutaona PSG watavyokua wanafungua kwa kasi huku Madrid wakipiga counter za kutosha.

Naamini PSG atashinda nyumbani ila Madrid ndio atafuzu hatua inayofuata.
 
And he has money...what do you have

Hapa kinachoangaliwa ni mchezaji anaeisaidia timu yake. Kama ni pesa tu Messi na cr7 wanazo mpaka za kuinunua familia yake.

Inshort Neimar ameenda kuwaharibia tu wenzake. Kama mimi ndiye mwenye timu ningemuacha Neimar then nikamnunua DYBALA mzee wa kazi tu.ila sio huyo mrembo
 
Mkiwa mnamulaume Neymar mkumbuke uwezo wa opponents zao pia(Kina Marcelo, Isco, Asensio, Casemiro)

2nd leg tutaona PSG watavyokua wanafungua kwa kasi huku Madrid wakipiga counter za kutosha.

Aingie mapafu ya mbwa DI MARIA hapo mpira utanoga mkuu. ila Neimar wamefungwa anazidi kukaa na mpira na kupoteza muda utegemee kuwatoa madrid kwao!!!!! Madrid anaenda kupiga sio chini ya goli 3.
 
Back
Top Bottom