Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Alibashiri,alibashiri,alibashiri.alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
Natafuta miwani πBaada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.
Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Ally BashiriAlibashiri,alibashiri,alibashiri.
Sasa anaishi kwa mashaka sanauran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
Mkuu Tusamehe tu ππuran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
Mkuu haya mambo mbona yashakwisha?uran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
ssana
Nakazia Mkuu.Yanga atachukua tena 24/25 pia 25/26 na 26/27
Hahahaha π€£π€£π€£π€£π€£ hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.......thimbaaaa..Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.
Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Bingwa wa utabiri yuko wapialibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before