Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni kweli simba ni bingwaNyerere hakuwa mjinga kupeleka mwenge na bendera ya taifa kwenye killed cha mlima Kilimanjaro, yule mzee alikuwa ana vitu vingi sana. Simba nao wamepita mle mle;siyo wajinga kupeleka kibegi kileleni.
Mambo ya kiroho yana vitu ambayo mwenye akili ya kawaida ataona ni upuuzi, na hiki kizazi cha wabishi ila wasiojua lolote, hakitabaini jambo hili kirahisi.NDO UMEISHA HIYO, Yanga wasubiri musimu mwingine.