Achana na babu ataanza kuleta maneno yake ya uchonganishiAsalalaaaaale kumbe mlengwa ni mimi hapa mjukuu wa babu?
Babu Asprin nakusubiri unipe go ahedi nikaichakate hii K-Vant maana naona inaleta zereu kwa kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani na wewe ungekua na ngekewa kama mimi usingeona ajabu mamba kua ni shosti wa huyo kiumbe.Weeeee...! Yaani apendwe na nani? Mamba? Mamba ana urafiki na vitu vitamu tamu hivyo?. Weeee huyo mamba atakuwa kenge
Hivi nikiwa chumbani na mam sap nikamwambia baby naomba K-vant si atanielewa maana huwa napataga tabu kuombaAsante leo ndo nimejua maana ya K- Vant kuja mjini ukubwani nako tabu
Mambaaaaaaa....! Ni mnyama ninaemkubali kabisa,hanaga kulemba. Uliza wakifumumania anga zao wewe Mgugu. Wawe kama watatu hivi kula yao. Mmoja Anang'ata hilo paja lako,huku wa pili aking'ata mkono,wa tatu anaweza akashika mguu. Kata yao Wanajiviringisha,hapo tayari paja na mkono vimeondoka. Hakuna kutafuna analisokomeza tu paja zima lileeee. Wakirudia mara ya pili tayari wewe ni hadithi. Hapo wanagawana kabla hujafa. Utaenda kufia tumboni. Hawanaga urafiki na kidude chochote wale njemba. Ukiona amejenga urafiki na wewe kaa chonjo ujue anakumendea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani na wewe ungekua na ngekewa kama mimi usingeona ajabu mamba kua ni shosti wa huyo kiumbe.
GO ahead inaletwa na upepo wa kisulisuli ili zoezi lisichelewe... Hakika unaichakata K Vant mpaka avimbiwe kile kitambi pendwa...Asalalaaaaale kumbe mlengwa ni mimi hapa mjukuu wa babu?
Babu Asprin nakusubiri unipe go ahedi nikaichakate hii K-Vant maana naona inaleta zereu kwa kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili.
Tulia we mtoto. Mjukuu wangu kashakuwa mkubwa nami nina hamu ya kubeba kitukuu kipyaAchana na babu ataanza kuleta maneno yake ya uchonganishi
Majua sana ndo maana nataka umbatize kaka yako awe na ngekewa kama yangu mimi babu yenu mtakatifu nisiye na dhambiMsamehe bure huyu mzee dia kaka,hii ndiyo mida yake ya k-vant
Alichoandika hapo kimedhaminiwa na K-vant
Majua sana ndo maana nataka umbatize kaka yako awe na ngekewa kama yangu mimi babu yenu mtakatifu nisiye na dhambi