Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Msamehe bure huyu mzee dia kaka,hii ndiyo mida yake ya k-vant

Alichoandika hapo kimedhaminiwa na K-vant
K-vant zikishamkoloea anataka atesti mitambo mpk kwa my dia dada.
Ila my babu Asprin ni mzalendo naamini hataniangusha hii wikiendi.
 
Ngekewa ndio mnyama anayependwa na viumbe vingi vya porini na majumbani.

Wanyama kama Mamba, Chatu, Nyani, Paka, Kobe na hata ndege wa aina mbali mbali hupenda kukaa karibu naye na kufurahia maisha hivyo mnyama huyu huhesabika kama kiumbe chenye bahati ya kupendwa na viumbe wengine ukiondoa maadui zake.

Kwenye kamusi ya lugha ya kiswahili neno “Ngekewa” mbali na kumzungumza huyu mnyama pia limetafsiriwa kama bahati au yenye bahati na ndio maana hata mtaani mtu mwenye bahati huambiwa ana Ngekewa.
Asili ya maana ya neno Ngekewa ipo katika kupendwa kwa huyu mnyama na viumbe mbali mbali hata vile vya hatari.

 

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nngozi yake au hata mfupa wake kwa milioni 50 kama ni yule wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…