Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

cyo anaconda tu mkuu hata chui niliwahi kumwona akimgaragaza
 
kama watu wanatafuta sijui mafuta ya simba bas kunawatu watataman wamtumie kweny mambo yao hahaha sis watanzania/watangazania hatar tupu
 
Huyu mnyama hapatikani Afrika bali Amerika ya Kusini maeneo yenye grasses au misitu mikubwa inayokaribiana na mito( Aquatic areas). Anauwezo wa kuishi hadi miaka 20 ila mara nyingi hawamalizi miaka 8 kwasababu ya kuwa ni chakula kizuri cha Jaguar. Bila kusahau ni prey wa Anakonda.
 
Vp uku kwetu haiwezakani wakaletwa kama wale #vyura wa kihansi walivyopelekwa #Amerika?
Nadhani Kuna mazingira flani ya hari ya hewa ambapo hu survive, wenyewe hupenda kuishi kwenye Mito na ni wajuzi Sana wa kuogelea, wanasemwa ni jamii ya Nguruwe, wanajulikana kwa jina la utani kama "Animals Chair"
 
Nadhani Kuna mazingira flani ya hari ya hewa ambapo hu survive, wenyewe hupenda kuishi kwenye Mito na ni wajuzi Sana wa kuogelea, wanasemwa ni jamii ya Nguruwe, wanajulikana kwa jina la utani kama "Animals Chair"
Interesting kwa kweli
 
Interesting kwa kweli
Sure, bado watu wanajiuliza kwa nini wanapendwa na wanyama wengi, ila katika wanyama wanaompenda nadhani Anaconda hayumo, coz kwa tabia yake ya kupenda kukaa kwenye maji ambapo huweza kukaa hadi Dakika 5 ndani ya maji bila kuibuka juu, amekua chakula kikubwa cha Anaconda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…