incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia.
Wametokea kutrend sana huko mitandaoni kutokana na maisha yao vichekesho na vibweka mbalimbali.
Naomba kama kuna mtu ana Video zaidi na zaidi za viumbe hawa au habari zozote zinazowahusu hawa viumbe leteni hapa jukwaani tuenjoy kidogo.