fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Kwa mantiki yako sawaHaiondoi maana kuwa wote ni nguruwe mkuu tuelewane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mantiki yako sawaHaiondoi maana kuwa wote ni nguruwe mkuu tuelewane
Vipi kaka Muha moja hiyo sio?Haiondoi maana kuwa wote ni nguruwe mkuu tuelewane
😅😅😅 Waha wabishi sana kakaVipi kaka Muha moja hiyo sio?
Umesimulia vizuriHuyu mwamba kabisa mwite
- v16 turbo engine (naye ataitika)
-The new king of savanna (atageuka)
-The most handsome king in the jungle (atakuangalia na kutabasamu)
-The king of reverse parking
- The king of showoff
Oyaaa wee! Huyu mwamba achana naye anauwezo wa kutimua vumbi mpaka kwenye tope.
Anaweza akawa anakimbizwa na adui gafla akaona chakula anachokipenda akapiga break Kwa dharau akaaza kukila then akiona umemkaribia anatoka na speed 120•5 mpka upepo wa eneo Hilo unachange direction.
Kuna mda kichwa chake kikichachuka Huwa haogopi mnyama wa aina yoyote Ile yaani hata Simba na chui siku iyo wanakimbizwa.
Pia hyu mwamba kila sehem anayokula Huwa anahakikisha Pana shimo la imejezi karbu na eneo Hilo ili lolote likitokea na siku hiyo hataki fujo za kukimbizana bas anaenda anachil kwenye shimo huku akikuangalia Kwa dharau.
Oya huyo mwamba anasifa nyingi sna
Huyo ndio mr warthog
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.
Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.
Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹
When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.
Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣
Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.
Nimewaona sana Kisarawe Pwani
View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!
View attachment 3124446
Nimewawekea na clips
Mtu atakae buni hivi atauza sana kiutani utani tu unachomoka
Hivi saadani hakuna SIMBA?Hawa wapo pale Saadani kibao, wanaishi mtaani huko na wanalala pamoja na mbuzi. Hawana habari na mtu.
Sijui kama wapo. Hawa ngiri wanaishi mtaani sio kule mbugani. Wanakatiza tu na hawana noma na mtuHivi saadani hakuna SIMBA?
huko pazuri aseeSijui kama wapo. Hawa ngiri wanaishi mtaani sio kule mbugani. Wanakatiza tu na hawana noma na mtu
Nyama yake kilo moja au fungu moja sh. ngapi kwan.huko pazuri asee
Mkuu pwani walikuwa wanauza kwa mafungu buku1 hadu buku2 sijui kwa kg n ahpo ni zamani kidogo.Nyama yake kilo moja au fungu moja sh. ngapi kwan.
😱Mkuu pwani walikuwa wanauza kwa mafungu buku1 hadu buku2 sijui kwa kg n ahpo ni zamani kidogo.
huku nilipo hawapo
😂😂😂😂😂😂Huyu jamaa kwanza ni mtukutu pili asipo toka nduki ajihisi aman kabisa ndio maana clip nyingi zinamuonesha jamaa yeye ndie mkorofi yani lazima atafute sababu za kupiga kibati hapendi kuona wenzie wametulia
Kuna clip nimeona simba alikua sijui anamkimbiza sungura yule jamaa akaona usinitanie katoka mbio kawa over take simba na sungura 😂😂😂wake mpaka nikajiuliza sasa ilikua na umuhimu gani kufanya vile.
Mtu atakae buni hivi atauza sana kiutani utani tu unachomoka
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.
Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.
Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹
When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.
Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣
Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.
Nimewaona sana Kisarawe Pwani
View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!
View attachment 3124446
Nimewawekea na clips
AMENnimejifunza mengi asante mleta uzi Mungu akupe haja moyo wako ubarikiwe