Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Pamoja na speed zake ila nyama yake ni nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walaji wanasema hivyoPamoja na speed zake ila nyama yake ni nzuri sana
Hiyo engine ni haramu,sipandi gari yenye Engine hiyo.Wataalam mtuambie huku injini ya hii gari imetengenezwa wapi maana inachanganya fasta kuliko hata fasta yenyewe
Watamu kufa!Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.
Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.
Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹
When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.
Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣
Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.
Nimewaona sana Kisarawe Pwani
View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!
View attachment 3124446
Nimewawekea na clips
, 😂😂😂😂Hiyo engine ni haramu,sipandi gari yenye Engine hiyo.
Wazee wa harakati zisikuwa na maana yoyoteHuyo nguruwe pori hana utofaut na binadamu wafupi🏃
Mimi binafsi Mnyama husika hunifurahisha sana purukushani zake zisizokuwa na sababu yoyote!Hii thread nimeipenda!
Ila kwa Kirikou alitulia 😂 😂Mimi binafsi Mnyama husika hunifurahisha sana purukushani zake zisizokuwa na sababu yoyote!
umenikubusha .......Ile ya mchawi kalaba? madogo ukiitoa hawakuelewiIla kwa Kirikou alitulia 😂 😂
sana aseeMzee wa heka heka!!
Unaambiwa kipindi wanafanya huo utafiti na kumpa simba na chita ushindiView attachment 3125737
Super Accelerator
Huyo jamaa ukimkurupua Ubungo we waulize watu wa Mbezi mwisho waytakuambia dakika si nyingi kapita mkia juu.


Uko sawa Kila mtu aseme anachojua kumhusu. Nimeipenda hii🤣🤣Kwa utamu hana tofauti na nduguye kitimoto sema ngozi yake haina thickness kubwa sana! Hayo ya speed watakuja kuelezea wataalamu wa mbio za magari
Ndio hio, Anatulia.umenikubusha .......Ile ya mchawi kalaba? madogo ukiitoa hawakuelewi