Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Sidhani kama ni kusahau..nadhani ni kiburi tu na jeuri
Hakika maana hajawahi ogopa kitu hata amuone Simba. Ipo clip alikuwa kazingirwa na kundi la mbwa mwitu aliangalia wapo wengi akapita nao wote akakimbia halafu akasimama na kuwageukia Tena akaanza kurudi Kwa kutembea hata ajari nikajiuliza huyu alikuwa anakimbia kujiokoa ama kupasha tu😹😹
 
Waw! Sio kwamba warthog naye alikuwa anajilipizia kisasi kwa chui? Simba naye hovyo sana. Simba alitakiwa amwache warthog kwani alimtia shime kwenye pambano. Ila ndo hivo tena. Simba angelimwacha warthog, isingekuwa vyema kwani huenda siku hiyo simba angelishinda njaa na ukizingatia Riziki haiji mara mbili. Simba alifanya maamuzi sahihi japo magumu.
Warthog fala kabisa, alikua na nafasi ya kukimbia pindi simba na chui wanapigana. Sasa sijui ni ujinga ama hasira akaamua kurudi kumtandika chui vichwa sasa sijui alikua analipiza au bangi tu.
 
Hakika maana hajawahi ogopa kitu hata amuone Simba. Ipo clip alikuwa kazingirwa na kundi la mbwa mwitu aliangalia wapo wengi akapita nao wote akakimbia halafu akasimama na kuwageukia Tena akaanza kurudi Kwa kutembea hata ajari nikajiuliza huyu alikuwa anakimbia kujiokoa ama kupasha tu😹😹
Yaah nimeiona pia hiyo clip. Jamaa anasifa sana hasa akiona anaogopwa ndio sifa zinazidi. Nilishangaa kundi la mbwa mwitu imekuaje wanamuogopa wakati hata simba wanapita nae. Kweli huenda warthog ndio mfalme mwenyewe hahahaa
 
Ukweli ni kuwa ngiri (Warthog) sio nguruwe pori. Na Boar (nguruwe pori) sio ngiri. Boar ukigoogle picha zake, utaona ni nguruwe kabisa
Uko sahihi kabisa.

Warthog na Boar ni tofauti lakini ni jamii ile ile ya nguruwe tu.

Classification yao ya kibayolojia ni ile ile, isipokuwa wanatofautiana kidogo sana baadhi ya features.

Lakini yote ni MANGURUWE PORI tu.

Ngiri wapo Afrika zaidi, wakati hao BOAR nawaona zaidi Asia.

Tofauti yao ni kama LEOPARD na JAGUAR. Ni jamii ile ile tu.
 
Nazidi kuelewa zaidi na zaidi kuhusu huyu jamaa!! Ahsanteen sanai asee
 
Kuna siku nilicheka hadi machozi. Chui alimfukuza huyu ngiri mwisho ngiri akaona huu ujinga akageuka akaanza kumrudia chui, chui alipishana na ngiri kama sio yeye aliekuwa anamfukuza.
Nadhani comment no4 jamaa kaweka video za kutosha pale ukiangalia hiyo clip utaiona🤣🤣

Ana speed hata sehem ambayo Ilikuwa haihitajiki. Sasa anavyoingia home kwake hiyo rivers anayorudi unadhani ana side mirror ananyooka Kwa speed bila kujikaza kushoto Wala kulia
 
Huyu mdudu niahamuangalia sana video zake. Yaani mnavyotoa comments hapa nabaki kucheka tu. Anaweza akakurupuka tu anakimbia halafu anasahau alikuwa anakimbia nini anaanza kutembea kawaida.
Kuna vituko vingine anafanyaga akiona kaboreka anatafuta walipo pundamilia au nyumbu halafu anaanza kuwarushia mchanga. Siku akaona haitoshi akaenda mtoni kabisa kakuta mamba kalala zake akaanza kumrushia mchanga afu akatimua mbio
 
Back
Top Bottom