Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Bado unasomesha watoto wako huku unawaza white collar jobs,bado una safari sana...
English medium zitaendelea kuwa suluhisho ya kizazi hiki Cha competition,sio mtoto analetewa mnyarwanda tu wa hapo Kigali anashindwa kujielezea😄
mkuu kwani kujielezea ndio kipimo cha elimu bora?
 
Upo sahihi kabisa mkuu. And this is what I am talking about in my thread
 
Eti mama mtu anasema mtoto wake amerogwa.[emoji1787][emoji1787]

Kiufupi inatakiwa kusomesha hizo shule Kwa tahadhari,Mimi nawasomesha hizo hizo.private ila sio zaidi ya mil.1 Kwa gharama zote,sitaki ujinga kabisa.
Kumbe umezaa
 
Kuna mtoto, kwao pesa zipo, anapelekwa shule za gharama. Mtoto yupo darasa la nne anafungwa viatu kamba, anafungwa vifungo vya shati. Mtoto wa kike anafuliwa Pichu mpaka darasa la sita. Kwa ujumla wanakuwaga wapumbavu kichwani.
Hatari sana
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Si
Usiige kunya kwa tembo mkuu. Wenzako wana hela za wizi.
Sio kweli na huwezi dhibitisha otherwise is the way of throwing away from emotions mental pains ya wenzako kulipa Ada huko na wewe hunazo,so unatafuta namna ya kuhalalisha ukweli wako ndio iwe kanuni ili upate ahueni ukiona wengi wanahama private schools.
 
Okay
 
mkuu kwani kujielezea ndio kipimo cha elimu bora?
Definitely! tatizo wewe elimu unaipima Kwa ajira ndio unapokosea....elimu ni uwezo wa kuelewa na kupambana na changamoto zinazokuzunguka na kuweza kuzitatua...mkuu inaonyesha wewe ukiona bank teller au mwalimu ndio unaona ana elimu Bora sana au sio?
 
Definitely! tatizo wewe elimu unaipima Kwa ajira ndio unapokosea....elimu ni uwezo wa kuelewa na kupambana na changamoto zinazokuzunguka na kuweza kuzitatua...mkuu inaonyesha wewe ukiona bank teller au mwalimu ndio unaona ana elimu Bora sana au sio?

English Mediums wanafundishwa kukariri ili wafaulu mitihani. No skills
 
...shule za kayumba ndio shule gani? Au ni jina la kijiji au mtaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…