ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kuna shule za serikali za mchepuo wa English,harafu mazingira hayafanani zipo za kawaida.Mkuu private zipi ambazo ni chini ya 1m moja au uko kijijini sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shule za serikali za mchepuo wa English,harafu mazingira hayafanani zipo za kawaida.Mkuu private zipi ambazo ni chini ya 1m moja au uko kijijini sana?
Hizo zina faa sana hazina shida. As long as unaishi karibu na shule ili mtoto akitoka shule apate muda wa kucheza na wenzake mkuu. Sio UNAISHI Goba halafu unataka mtoto wako asome Olympio.. Gari la Olimpio kwa ukanda huo linaishia Savei. Mtoto wako uwe umempakia kwenye gari by saa kumi na moja kamili. So inakubidi uwe una amka saa kumi usiku unamuandaa mtoto then unapanda bajaj hadi Savei kila siku mwa.miaka saba.. hii sio sawa ni mateso kwa mtoto mwisho utamfanya achukiw shule ila.kama.upo karibu na shule hakuna tatizo kabisaLIKUD naomba kuuliza vipi kwa shule za serikalini za mfumo wa English medium? Ina faakumpeleka mwanao, ada zao ni nafuu kwa kiasi kikubwa kulinganisha na private.
Mkuu nina watoto na mimi ni adult mwenye majukumu.Sorry una mtoto? Una umri gani?
Kayumba mtoto anajua vitu vingi kuhusu maisha ,,,kufagia uwanja ,kupanda maua ,kufanya usafi chooni na darasani ,usafi kuanzia kiatu mpaka mavazi ....maana yote hayo anayafanya mwenyewe Tena Kwa fimbo ....kuelekezwa kidogo na kujitafutia kingiii .......na haya ndio maisha halisi ya Duniani ...
Kutana sasa na Hao st Mary's sijui nin ,uzungu mwingi tu [emoji23]...mtoto WA kike anajua U nooo ,bikozi ,ze boyifurendi.....kupika haijui ,kufua hajui ,usafi hajui ,hata kufagia uwanja hawezi ....anakuwa boyaaaa boyaaaa ti zobaaaa shittyt kabisa
Mkuu lengo ni kutegeneza matabaka watawaliwa vs watawala, hizo ni antoganistic classes ambozo ccm haitakuja kuziondoa ata siku moja, hawawezi kuruhusu mwanao asome na mtoto wa waziri Mchengerwa hata siku moja labda uwe fighter kweli kweli.Siku nikiona watoto wa mawaziri au wabunge wa ccm wapo kayumba na mimi nitapeleka wanangu kayumba,watawala sio wajinga.
Mkuu sijakuelewa kabisa utakua je masikini af ununue vitu vya ghari haliakua wewe ni masikini, hiyo pesa utaitoa wapi?Nakuomba chukua mtt wa English medium aliyepata one Kali,mpe past paper ya maths utajionea. Yaani hao watt wakiwa wanasoma na pepa za shuleni Hakuna maajabu. Watt Hawa flow English. Hii ishu ipo katika kukuza self image , external validation,Mana mtu deep down ana feel insecure, inferiority complex so anatafuta namnaa ya kujifariji nafsini mwake.
Ni rahisi mno yaani mno masikini kununua vitu expensive like phones, clothes,cars just tu ku bossy his/her self image yaa nje naye aonekane ama apate ahueni asidharaulike ama avimbe naye Yuko njema.
Going outside to buy expensive cigarettes doesn't make you rich.
Kuna ushauri umeutoa kuwa kama unaiona milioni Kama buku kwako mpeleke Ila usijibane ili na wewe self image, external validation,sense of mattering, adequacy etc ikue juu.
Ila naweza nikasemaa kuwa English medium sijasoma nimesoma nao hao sekondari yaani mpaka English namzidi kufaulu.
Kuna mtu anauza TV,gari,simu fulani Ila yeye hazimiliki kabisa Ila anafanya biashara
🤣🤣🤣🏃Mkuu kwa hiyo kufika dar ndio kutoboa kimaisha?
Nimerudia kusoma na kupata utata kidogo hasa hapo ulipo andika kuwa, ulianza kupata watoto ukiwa kidato cha pili (sijui unafundisha nini?)
Nilichogundua ni kuwa ulicho andika ni mtiazamo wako sawa na watu wengine wanavyolima kwa kutumia mbolea na wengine hawaamini kabisa kwenye kuweka mbolea (misimamo miwili tofauti)......
Hii ni ya serikali au private?Kuna shule za serikali za mchepuo wa English,harafu mazingira hayafanani zipo za kawaida.View attachment 2768465View attachment 2768466View attachment 2768467View attachment 2768468View attachment 2768469View attachment 2768470View attachment 2768471View attachment 2768472View attachment 2768473View attachment 2768474
Mkuu usiwe negative tu, kuna wengine wstoto wa kibalehe wana kua na mchango mkubwa sana na kuchangia katika hiyo familia binaadamu hatufanani?Nimeweka wazi hapo kwamba ninatoka katika ukoo na familia ya ki islamu hasa . Familia ya watu wanao swali. Nimelelewa kwa maadili hayo ya ki islamu na nilikuwa mtoto mtiifu sana kwa maelekezo ya wazazi nilipokuwa malaika, lakini nilipofika kwenye adolescent age nili branch out nikaingia kwenye zinaa hadi kumpa mtoto wa watu ujauzito, jambo ambalo lilikuwa kinyume kabisa na matarajio ya wazazi wangu.
Ninafundisha kwamba kile tunacho kitarajia kwa watoto ni tofauti sana na vile watakavyo kuja kuwa baada ya. kubalehe na hii ni kwa sababu watoto huwa wanabadilika sana wanapo balehe. Ni katika kipindi cha balehe kwa watoto ndio wazazi wengi hujuta hata kwanini waliweta watoto wao duniani.
So nawashauri wazazi vijana wenye watoto wadogo sasa hivi na ambao uwezo wao ni mdogo wasijinyime kufanya maendeleo yao binafsi au mambo mengine ya Msingi kama vile kujenga nyumba na kufurahia maisha ili wawalipie watoto wao mamilioni kwenye shule za English Medium, kwa sababu watoto hao watakuja kubadilika na kuwa kinyume na matarajio ya wazazi wakifika balehe jambo ambalo litaishia kuwa dis appoint wazazi wao.
100%Kayumba mtoto anajua vitu vingi kuhusu maisha ,,,kufagia uwanja ,kupanda maua ,kufanya usafi chooni na darasani ,usafi kuanzia kiatu mpaka mavazi ....maana yote hayo anayafanya mwenyewe Tena Kwa fimbo ....kuelekezwa kidogo na kujitafutia kingiii .......na haya ndio maisha halisi ya Duniani ...
Kutana sasa na Hao st Mary's sijui nin ,uzungu mwingi tu [emoji23]...mtoto WA kike anajua U nooo ,bikozi ,ze boyifurendi.....kupika haijui ,kufua hajui ,usafi hajui ,hata kufagia uwanja hawezi ....anakuwa boyaaaa boyaaaa ti zobaaaa shittyt kabisa