Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Umeandika vitu vingi lakini upuuzi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Ur the true son of your father. Baba ako hakusingiziwa.Nakuomba chukua mtt wa English medium aliyepata one Kali,mpe past paper ya maths utajionea. Yaani hao watt wakiwa wanasoma na pepa za shuleni Hakuna maajabu. Watt Hawa flow English. Hii ishu ipo katika kukuza self image , external validation,Mana mtu deep down ana feel insecure, inferiority complex so anatafuta namnaa ya kujifariji nafsini mwake.
Ni rahisi mno yaani mno masikini kununua vitu expensive like phones, clothes,cars just tu ku bossy his/her self image yaa nje naye aonekane ama apate ahueni asidharaulike ama avimbe naye Yuko njema.
Going outside to buy expensive cigarettes doesn't make you rich.
Kuna ushauri umeutoa kuwa kama unaiona milioni Kama buku kwako mpeleke Ila usijibane ili na wewe self image, external validation,sense of mattering, adequacy etc ikue juu.
Ila naweza nikasemaa kuwa English medium sijasoma nimesoma nao hao sekondari yaani mpaka English namzidi kufaulu.
Kuna mtu anauza TV,gari,simu fulani Ila yeye hazimiliki kabisa Ila anafanya biashara
Wana elekea mkuu 14 16 changamoto zao zote na ziona na nakabiliana nazo, mimi nasomesha kwenye shule nzuri tu kwa kujinyima, ila hata siku moja sitegemee fadhira kutoka kwao kisaikolojia nimejipanga, bila kuwapa elimu nzuri wata nisumbua zaidi, nimejipanga kwa hilo mkuu.Watoto wamesha balehe mkuu au ndio bado malaika?
Kama kwenye watu 105 waliofika dar ni wawili tu badi lazima awekwe kwenye kundi la waliotoboa!Mkuu kwa hiyo kufika dar ndio kutoboa kimaisha?
Mkuu lengo ni kutegeneza matabaka watawaliwa vs watawala, hizo ni antoganistic classes ambozo ccm haitakuja kuziondoa ata siku moja, hawawezi kuruhusu mwanao asome na mtoto wa waziri Mchengerwa hata siku moja labda uwe fighter kweli kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Instead of just instructing our children by using English, they are Europeanizing them"
Akalipiwe tu ni la sababu!Mtoto anasoma mpaka form six hajawahi hata kukalipiwa au kupigwa fimbo unatarajia Nini?
Usiige kunya kwa tembo mkuu. Wenzako wana hela za wizi.
Simsomeshi mtoto ili aje anilipe fadhila. Namsomesha ili afanikiwe kwenye maisha yake yeye kama yeye. Hayo ndio malipo yake kwangu. Ninacho kisema Mimi ni pale mtoto anapo fikia kwenye adolescent age na akataka kufanya kitu ambacho ni kinyume na matarajio. Kwa mfano Mimi sidhani kama unalipa mamilioni ili mtoto wako aje awe dereva wa bodaboda. If so then what is the point of you paying the millions ?Wana elekea mkuu 14 16 changamoto zao zote na ziona na nakabiliana nazo, mimi nasomesha kwenye shule nzuri tu kwa kujinyima, ila hata siku moja sitegemee fadhira kutoka kwao kisaikolojia nimejipanga, bila kuwapa elimu nzuri wata nisumbua zaidi, nimejipanga kwa hilo mkuu.
Hichi ndio kinachokuuma wala si lolote,western civilization huwezi pambana nayo wala kuipinga kwa ulimwengu wa sasa,nenda middle east sasahivi ni ulaya ndogo.
Shule za kayumba ni kwaajili ya masikini na makapuku huko hakuna elimu wala exposure kwa watoto acha kujifariji.
Sure kabisa watoto wanaendaga shule ya Msingi kukua tu. Akifika form three at least anaweza kujua anataka kuja kuwa naniWatoto wengi hawana wanachoelewa wanahitaji miongozo ya wazazi hawajui wakisoma nini watakuwa nani
Mimi nilisoma kayumba lakini mpaka namaliza shule nakuja mjini nilikuwa najiuliza watu wanaendaga maofisini kufanya kazi gani huko
Sikuwa na elewA wowote
Baadae sana nilikuja kuelewa na mda nao umepotea sikuwa na option yoyote
Kijijini kaka fundi ujenzi dada anauza genge wewe ndiyo first kusoma secondary
🤣🤣🤣🤣A friend of mine speaks English at home with his wife just to make their 2 year old son fluent in English. Housegirl hajui kitu na analea mtoto kutwa.
I was one day in a shock nilipoenda kwa friji kuchukua soda, when they visited me, they boy was screeming ota....ota...ota while his parents were outside. It took me sometime to understand anataka maji.
Simply angesema mma asingelia vile.