Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba


Story yako ni nzuri ila hapo kwenye procurement umeichukuliaje yani acha zarau sawa
 
Kama nimekulewa hivi ila qmmmmq una kitu utafika mbali sana
 
Mwanangu hawezi Soma hizo shule mbovu za serikali labda kama Sina PESA yaani mtoto wangu aende huko Apate shida aanze kuchapwa Viboko na Hawa walimu waliopata D mbili form four?🤗big NO!
Muhaya tena
 
Ukweli mchungu warahi.

Haya maisha bhana,usitegemee miujiza Bali uhalisia.
Wengi wetu tunajaribu kubishana na uhalisia.ndo hapo tunabaki na ujinga WA SHETANI MBAYA.
 
dah naumiaga sana hawa wayahudi wamefanikiwaje kuidhibiti dunia kwamba wao ndo bora kuliko wote duniani? je mababu zetu walijua kuhusu watu hawa,au injiri na torati ndo zimekuja kutulisha matango pori'?
 
Hivi shule hamkufunzwa kuandika muhtasari?
 
Aahaahaaaaa,naunga mkono hoja
 
Mkuu sijakuelewa kabisa utakua je masikini af ununue vitu vya ghari haliakua wewe ni masikini, hiyo pesa utaitoa wapi?
Kuna aliyenielewa ama sure atakuelezea deep down. Kumiliki gari sio utajiri mkuu Ni umasikini Ni sawa na hizi nyumba tunazojenga mtu anabakia kuji boast kila mahali kuwa mie Nina kwangu nimejenga mahala fulan. Yaani unataka upongeze na dunia nzima na ilhali ndege na wanyama Wana makazi na wanakula mbususu na wanaua wengine wanawala Ila hawavchongi. Elewa kuwa tajiri namba moja duniani Elon Musk amepanga Hana nyumba,jiulize why.
Why ufuge 🐄 for milk while you can get milk easily and it's available everywhere.
Mpaka uwe na mtizamo fulani ndio utanielewa la sivyo opinions, thoughts and judgements zinatofautiana so itabakia mvutano
 
MISERY LOVES COMPANY

Ndugu Likud naona una hali ngumu kifedha kwahiyo unataka kampani ya watu wenye majanga kama yako ili ufarijike. Nadhani ushauri wako ungejikita kwenye kuwasihi wasio na hela wasijilazimishe kufanya mambo yaliyo juu ya uwezo wao. Kusema kwamba Kayumba ni bora ni kujipa tu moyo kijinga. Mimi kama mdau wa elimu naweza kukuthibitishia kuwa Kayumba zenye ubora kwa Tanzania ni za kuhesabika. Kwa shule za msingi ni chache mno. Na kwa sekondari ni upate zile shule zinazoitwa za kitaifa. Hakuna namna unayoweza kumshawishi hata kichaa kwamba shule ya Sekondari Oljoro ambayo wanafunzi hupanda malori ya mchanga kwenda shule ni bora kuliko St Patrick au Arusha Modern. Hakuna bingwa wa malezi ila kwa asilimia kubwa tabia ya mtoto huanzia nyumbani na kwa kuiga wazazi wake. Ukiwa laissez faire lazima watoto watakuwa hovyo. Mkuu Likud kufulia ni sehemu ya maisha. Jitahidi kubeba msalaba wako bila kutaka kampani ya watu wengine.
 
Kuna upotoshaji wa makusudi mkuu.. na unafanywa na watu wenye uelewa kabisa. Inashangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…