Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

1. Watoto wote hawawezi kuwa sawa Tabia.

2. Private au Kayumba sio sababu ya malezi ya shule.

3. Mtaani kwetu Kayumbu ndio hatari.

4. Kama hela ipo peleka shule nzuri.
Hatari kivipi
 
Assume wewe ni Rais.

Kuna nafasi moja kubwa katika serikali yako unataka kumpa moja ya vijana wako wa Chamani. Nafasi ambayo itamlazimu anayepewa awe anahudhuria mikutano mbalimbali ya kimataifa na kuonana na viongozi mbalimbali.

Wote una taarifa zao na hutaki kukosea katika kumchagua huyo mtu kwa sababu kwa kiasi kikubwa atakua ni sehemu ya uso wa Taifa. Akiwa aibu, taifa lote linakua aibu.

Umejaribu ku round up, umepata vijana wawili wenye background ya Elimu inayotakiwa (Mambo ya International Affairs). Lakini mmoja ana roots au msingi wa Braeburn/Tanganyika International School na mwingine ana root ya Shule ya Msingi/Sekondari ya Migombani kule Chamwile.

Whom will you pick? and Why?

At the end of the Day, watu wengi wanajali zaidi kuhusu mazingira yako na sio ulichonacho. Mtu akisikia ulisoma Oxford university yupo tayari kukupa kazi bila hata kuangalia credentials zako zingine ila akisikia umemaliza Mwenge University, ukakasi unakua mwingi hata kama ulipata first class.

Ndivyo Dunia inavyofanya kazi kila mahali. Mtoto wa Saigwanda kaa kushoto, Mtoto wa Mizengo pinda sogea mbele. That's how it is. People see LABELS first and then YOU.

Kwaiyo wazazi wanachopambania sio elimu tu peke yake, bali na hadhi. Kwa sababu hadhi ina nguvu na nafasi yake pia. Watoto wa Kayumba wengi wana Confidence issues, ukimsimamisha mbele za watu ajieleze, ni mambo ya aibu na hapo hujamuuliza swali lolote. English Medium/International School nyingi zinazingatia pillars zote muhimu za kumfanya mtoto ajiamini kuwa anaweza kufanya mabadiliko katika jamii yoyote inayomzunguka. Kitu ambacho ni Plus++ sana hasa kwenye hii Dunia tuliopo!

Pia jiulize, unadhani kwanini viongozi wengi Duniani wanapambana sana watoto wao wawe na very high profiles kwenye kila njia wanazopita?

Read between the lines Joh!
 
Unadhani kwanini viongozi wengi Duniani wanapambana sana watoto wao wawe na very high profiles kwenye kila njia wanazopita?

Read between the lines Joh!
Very few Will understand you, tunasomesha wstoto kwenye shule za juu ili ku socialise with people of high class kwa maisha ya badaye,.........mtoto wako aki socialise na watoto wa mama tilie, boda boda house girl nk anakua na minimal chances kupata high class job, lakini xhances zake za kua bodaboda zinakua high..........ref: non academic importance of education to a child.
 
Kwaiyo wazazi wanachopambania sio elimu tu peke yake, bali na hadhi. Kwa sababu hadhi ina nguvu na nafasi yake pia.

Unadhani kwanini viongozi wengi Duniani wanapambana sana watoto wao wawe na very high profiles kwenye kila njia wanazopita?

Read between the lines Joh!
The line between knowledge and exposure is like pyramid,mimi nimesoma kayumba flani hivi ya zamani zile,shule pekee ya serikali iliyokuwa na mchepuo wa kiingereza ilikuwa Arusha school,na ya private ilikuwa ism(international school of moshi) lakini rafiki yangu mkubwa alikuwa ni mtoto wa meja jenerali werema at that time,huyu ndiye pekee aliyekuwa akiletwa shuleni na gari,(la jeshi) na wote tulimheshimu bila hata sababu, baada ya kumaliza shule pale nilikuja kukutana naye miaka michache tu mbele,alikuwa anaendeshwa kwenye gari ya jeshi!! Ni kama vile nilikuwa nasoma na mwanajeshi!! Exposure
 
So whats your stand katika hilo la kusomesha umeandika mengi na umegusia vitu vingi ila hujatupa coclussion yako kwenye huo uzi iliopo kwenye fiscution..........
Nimeacha ili uamue mwenyewe Ila mie nimechana ama kila kitu nimekiweka uchi it's up to you to decide your favorable way.
Am sure kulipia gharama kubwa isn't guarantee ya kuwa ndio mwanao ataongezeka uwezo kichwani,hili Nina uhakika Kama Ni kilaza Ni kilaza Ni tu hata umsomeshee huko Mars planet.
Kama nimeongea mengi mpaka yamekuchanganya chukua kidogo tu yanayoweza kuendana na uzito wako your own young modulus
 
Very few Will understand you, tunasomesha wstoto kwenye shule za juu ili ku socialise with people of high class kwa maisha ya badaye,.........mtoto wako aki socialise na watoto wa mama tilie, boda boda house girl nk anakua na minimal chances kupata high class job, lakini xhances zake za kua bodaboda zinakua high..........ref: non academic importance of education to a child.
Kwani huyo mtoto anaishia primary? Hafiki chuo?
 
Kayumba ni shule za wale wasio kua na plan B, wenye abject povert,....... wanao toboa maisha kupitia elimu wengi hutokea shule za magari ya njano, kijiji chetu tulio maliza darasa la saba tulikua 105, tulio weza kufika dar es salam na kuendekea na elimu ya juu tuko wa wili tu, kijiji kizima kina tutetegemea sisi mwaka uliofuatia hamna alio toboa, mwenzangu alisoma dip in electronics, mimi ndo nilio toboa zaidi.........wengi ni boda boda, wakulima, vibarua, mama wanyumbani, wengine walisha kufa n.k.......elimu ya kayumba is harzadius au massacre kwa future za watoto wa kitanzania, mpaka pale ccm itakapo kua na utashi wa kuboresha elimu ya nchi hi, mimi sitakuja kumpeleka mwanangu shule hizo hiyo ni 'ecademic suicide'.
Nitajie watu mashuhuri waliotoboa waliosoma shule zenye magari ya njano. Ukimuondoa Mohammed Dewj nani mwingine? Nitajie hapa
 
Assume wewe ni Rais.

Kuna nafasi moja kubwa katika serikali yako unataka kumpa moja ya vijana wako wa Chamani. Nafasi ambayo itamlazimu anayepewa awe anahudhuria mikutano mbalimbali ya kimataifa na kuonana na viongozi mbalimbali.

Wote una taarifa zao na hutaki kukosea katika kumchagua huyo mtu kwa sababu kwa kiasi kikubwa atakua ni sehemu ya uso wa Taifa. Akiwa aibu, taifa lote linakua aibu.

Umejaribu ku round up, umepata vijana wawili wenye background ya Elimu inayotakiwa (Mambo ya International Affairs). Lakini mmoja ana roots au msingi wa Braeburn/Tanganyika International School na mwingine ana root ya Shule ya Msingi/Sekondari ya Migombani kule Chamwile.

Whom will you pick? and Why?

At the end of the Day, watu wengi wanajali zaidi kuhusu mazingira yako na sio ulichonacho. Mtu akisikia ulisoma Oxford university yupo tayari kukupa kazi bila hata kuangalia credentials zako zingine ila akisikia umemaliza Mwenge University, ukakasi unakua mwingi hata kama ulipata first class.

Ndivyo Dunia inavyofanya kazi kila mahali. Mtoto wa Saigwanda kaa kushoto, Mtoto wa Mizengo pinda sogea mbele. That's how it is. People see LABELS first and then YOU.

Kwaiyo wazazi wanachopambania sio elimu tu peke yake, bali na hadhi. Kwa sababu hadhi ina nguvu na nafasi yake pia. Watoto wa Kayumba wengi wana Confidence issues, ukimsimamisha mbele za watu ajieleze, ni mambo ya aibu na hapo hujamuuliza swali lolote. English Medium/International School nyingi zinazingatia pillars zote muhimu za kumfanya mtoto ajiamini kuwa anaweza kufanya mabadiliko katika jamii yoyote inayomzunguka. Kitu ambacho ni Plus++ sana hasa kwenye hii Dunia tuliopo!

Pia jiulize, unadhani kwanini viongozi wengi Duniani wanapambana sana watoto wao wawe na very high profiles kwenye kila njia wanazopita?

Read between the lines Joh!
Paul Makonda alisoma Kayumba au?
 
N

Nitajie watu mashuhuri waliotoboa waliosoma shule zenye magari ya njano. Ukimuondoa Mohammed Dewj nani mwingine? Nitajie hapa
Akikutajia uni tag mkuu
 
Kayumba ni shule za wale wasio kua na plan B, wenye abject povert,....... wanao toboa maisha kupitia elimu wengi hutokea shule za magari ya njano, kijiji chetu tulio maliza darasa la saba tulikua 105, tulio weza kufika dar es salam na kuendekea na elimu ya juu tuko wa wili tu, kijiji kizima kina tutetegemea sisi mwaka uliofuatia hamna alio toboa, mwenzangu alisoma dip in electronics, mimi ndo nilio toboa zaidi.........wengi ni boda boda, wakulima, vibarua, mama wanyumbani, wengine walisha kufa n.k.......elimu ya kayumba is harzadius au massacre kwa future za watoto wa kitanzania, mpaka pale ccm itakapo kua na utashi wa kuboresha elimu ya nchi hi, mimi sitakuja kumpeleka mwanangu shule hizo hiyo ni 'ecademic suicide'.
Nitajie watu mashuhuri wanao excel kwenye maisha vizuri waliosoma hizo shule zako za Private. Awe msanii, mcheza mpira, mchungaji nk. Nitajie hapa. Shule za government ni bora kuliko hizo za private. Nashukuru sana kusoma saint Kayumba. Zimenifanya niwe kiongozi bora.
 
Kayumba ni shule za wale wasio kua na plan B, wenye abject povert,....... wanao toboa maisha kupitia elimu wengi hutokea shule za magari ya njano, kijiji chetu tulio maliza darasa la saba tulikua 105, tulio weza kufika dar es salam na kuendekea na elimu ya juu tuko wa wili tu, kijiji kizima kina tutetegemea sisi mwaka uliofuatia hamna alio toboa, mwenzangu alisoma dip in electronics, mimi ndo nilio toboa zaidi.........wengi ni boda boda, wakulima, vibarua, mama wanyumbani, wengine walisha kufa n.k.......elimu ya kayumba is harzadius au massacre kwa future za watoto wa kitanzania, mpaka pale ccm itakapo kua na utashi wa kuboresha elimu ya nchi hi, mimi sitakuja kumpeleka mwanangu shule hizo hiyo ni 'ecademic suicide'.
Hujui nini maana ya elimu wewe
 
Tanzania kuna vitu viwili vinanitisha ukitoa matatizo yetu yote. Elimu, unaenda shule kuongezewa ujinga na Afya unaenda Hospital kuchukuliwa uhai wako.
Ubovu wa elimu haupo Tanzania tu ni dunia nzima elimu mbovu. Wamarekani wenyewe wanalalamika kuwa mfumo wa elimu yao umefirisika. Kwa hiyo tatizo la elimu kuwa mbovu ni la dunia nzima. Halafu elimu bora siyo ile ipatikanayo darasani. Watu wanao excel kwenye maisha yao kwa uhuru ni wale ambao hawaelekezwi cha kufanya. Wanafanya wanachotaka wao. Waliosoma sana darasani wao wanapenda kupangiwa vitu vya kufanya na kuamrishwa na watu wengine. Very incompetent.
 
Mimi ni mwalimu na nimesoma shule za mt. KAYUMBA tangu chekechea huniambii kitu nazijua nje ndani … huna utakaloniambia kuhusu hizi shule nisichokijua… nasema hivi kila mtu ampeleke mwanae anakoona kunamfaa tusipangiane
 
Very few Will understand you, tunasomesha wstoto kwenye shule za juu ili ku socialise with people of high class kwa maisha ya badaye,.........mtoto wako aki socialise na watoto wa mama tilie, boda boda house girl nk anakua na minimal chances kupata high class job, lakini xhances zake za kua bodaboda zinakua high..........ref: non academic importance of education to a child.
Hufanikiwi kwa kusociliaze na watu. Unafanikiwa kwa kujitambua wewe ni nani na unataka nini kwenye maisha yako. Kwa bahati mbaya elimu itolewayo shule binafsi haimfanyi mtu ajitambue kwa sababu inamfanya mwanafunzi awaze kuhusu masomo tu. Saint Kayumba ndiyo mpango mzima. Mtoto anakuwa timamu wa akili, mwili nk. Siyo watoto mdebwedo wa shule za binafsi
 
Baada ya kuusoma huu uzi wa LIKUD nimezidi kuyakinisha kuwa kuna tofauti kubwa sana ya sababu za wazazi kumsomesha mtoto private schools nchi za duniani huko na sababu za wazazi wa Tanzania kumpeleka mtoto "private school".

Mfano wa nchi mbili ninazozifahamu, Uingereza na Canada, watoto wanapelekwa "private schools" kwa sababu ya wazazi na hao wanafunzi kujenga "connections" tu, si vingine.

Dunia ya leo siyo "what do you know" ni "whom do you know".

Hapa Tanzania ni watu wachache sana niliokutana nao wenye kulifahamu hilo.
 
Back
Top Bottom