Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Uje simple tu akili kubwa huwaga hawana mambo mengi wanajiamini.

Ukiona ke siku ya out anajaza ma makeup sijui lipstik kama damu huyo kichwani mweupe.

Akili kubwa wako veri sipo
Una akili.
 
Uje simple tu akili kubwa huwaga hawana mambo mengi wanajiamini.

Ukiona ke siku ya out anajaza ma makeup sijui lipstik kama damu huyo kichwani mweupe.

Akili kubwa wako veri sipo
Kiwalo ni kuwa nadhifu bwanaa
Niko simple lakini me sio mchafu
Lipstick natumia kwakweli ...imekuwa addiction kiaina sema sio ya kutisha
 
Utahangaika sana huo ni muziki munene sana kwako😂😂😂
Huu ni ukweli Mchungu aisee....
Akili kubwa kama Nakadori huwa haitaki complications , kitu kidogo tu huwa ina appreciate sana.... Bora huyo Mwamba asijichanganye kabisa ataishia kupata mawazo na vidonda vya tumbo tu.
 
Back
Top Bottom