Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nacheka tu hapa. Wahuni mmekomaa na Mimi Hadi nahisi kombe ni langu,kwa utetezi huu Lenie hachomoki.🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu Kijana wetu au Mdogo wetu ana tabia ya kupanick haraka na kufanya maamuzi ya hovyo na baada ya muda huwa anajirudi na kuanza kurekebisha makosa yake, bado hana uwezo wa kumiliki Pisi level za Lenie
Yule sister nilikuwa namkubaligi sana japo ndo hivyo jf ya kipindikile tulikuwaga hatunaga kutaka Juana zaidi Kama Fb ila Mshana Jr alikuwaga ndo king wa JF na alikuwa sana rafiki na huyo dada nadhani walijuana sana
Kama ana akili za kujiongeza atakuwa ameyapata yatakayo msaidia kurekebisha madhaifu yake.Tusikate tamaa tumuweke chini kabla hajalia🤣🤣🤣
Japo huenda tayari kazama pm
Vp mamiComments 808
Ngoja tuone tunalalaje tunaamkaje
Tunamfundisha namna ya kuvua samaki mkubwaUsilalamike Kijana tunakupa hints za Kikurungwam
Atakua ametingwa tu na majukumu labda!Sasa amefichwa wapi?
Mwingine huyo tena 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa amefichwa wapi?
Tuko kwenye kombolela hapa