Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
Hahah wewe ni Mungu Hadi ujue Ukubwa Wa Dhambi zake huenda Anatubu... wewe unaetamani na aliezini Online mnautofauti Upi kwa Mungu?yaan wazinifu wakuu ndio wanazungumzia habari za mungu surely?
hii sio kufuru tu bali pia ni ushirikina madhabahuni![]()