Hizi ni kutokea kwenye takwimu za moto moto tokea kwenye sensa?Awamu ya sita inazidi kuupiga mwingi na kuleta furaha katika mioyo na nyuso za watanzania, ama kwa hakika watanzania Mungu awape nini tena ? manataka Rais wa aina gani nyie? nchi inasonga mbele kwa kasi Tozo zinajenga nchi ,matumizi yamebanwa , pesa haziibiwi, mafisadi yamebanwa, raha sana
View attachment 2334257View attachment 2334258
Kuna watu walikinai kuitwa wanyonge wakawa wanatukana sasa mama anawathibitisha kwamba hawakuwa wanyonge kweli.Nani kama mama jamaniπππ, hakika Magufuli alikuwa raisi wa hovyo sana kuwaita wanyonge!!! Hakukusanya hata buku kwa wanyonge ila mama kaweza
Ahahahahah kwahio kama kodi ni laki 6 unazuia elfu 60 au sio? πππ wacha nijiandae kuhamia burundi sasa. Maana sahizi sehemu za kulala zimegeuzwa fremu za biasharaWith holding tax hulipwa na anayefanya malipo, yaani kwa lugha nyingine ni kama anakuwa wakala wa TRA...
Anazuia hiyo 10% ya malipo ya pango, na anapaswa kuireturn TRA...
Ahahahahah kwahio kama kodi ni laki 6 unazuia elfu 60 au sio? πππ wacha nijiandae kuhamia burundi sasa. Maana sahizi sehemu za kulala zimegeuzwa fremu za biashara
Hakika kwa hizo tozo wanazolipishwa sio wanyonge hata theluthiiKuna watu walikinai kuitwa wanyonge wakawa wanatukana sasa mama anawathibitisha siyo wanyonge.
Mpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.Sasa kwanini asidaiwe mwenye nyumba aje kudaiwa mpangaji ambae hamiliki hyo nyumba
Hizi sheria zetu zinahitaji maboresho.
Hapo nimeelewa sasa, kama ni hivyo sawa japo wenye nyumba waswahili hilo hawatotaka kujuaMpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.
Anakatwa mwenye nyumba ila wewe mpangaji ndio mkusanyaji, ila kiuhalisia mwenye nyumba anakupandishia kodi tu kufidia.Hahahahah hio TAX mi nikilala nazalisha nini hapo nyumbani? Nawasubiria kwa hamu na nimejiandaa kulala mahabusu safari hii!
Kwa unavyoona ndugu hili jambo linawezekana kwa nyumba za kupanga za makazWith holding tax hulipwa na anayefanya malipo, yaani kwa lugha nyingine ni kama anakuwa wakala wa TRA...
Anazuia hiyo 10% ya malipo ya pango, na anapaswa kuireturn TRA...
Tutaipitishia uko uko kwenye luku hutaona mtu amekuja kukugongea mlango kwako πππHahahahah hio TAX mi nikilala nazalisha nini hapo nyumbani? Nawasubiria kwa hamu na nimejiandaa kulala mahabusu safari hii!
Mpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.
Yeah kama tulivyokubaliama Magufuli alikuwa raisi wa hovyo kutuita wanyongeπππ kumbe tunaweza lipa kodi ya mageto na tozo serikaliniHakuna rangi hatutaona
Bora mpitie kwenye umeme ila kwa live bila chenga mtaisoma nambaTutaipitishia uko uko kwenye luku hutaona mtu amekuja kukugongea mlango kwako πππ
Dah bongo bahati mbayaAnakatwa mwenye nyumba ila wewe mpangaji ndio mkusanyaji, ila kiuhalisia mwenye nyumba anakupandishia kodi tu kufidia.
Huyo hayupo tena mwacheni apumzike huko alikoYeah kama tulivyokubaliama Magufuli alikuwa raisi wa hovyo kutuita wanyongeπππ kumbe tunaweza lipa kodi ya mageto na tozo serikalini
Kwa unavyoona ndugu hili jambo linawezekana kwa nyumba za kupanga za makaz
Maana mwenye nyumba yeye anataka pesa yake na uzuri hakupi mkataba hadi hela yake itimie
Hapa ninachokiona ni wapangaji ndio tunaenda kuumia hapa.