Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

Awamu ya sita inazidi kuupiga mwingi na kuleta furaha katika mioyo na nyuso za watanzania, ama kwa hakika watanzania Mungu awape nini tena ? manataka Rais wa aina gani nyie? nchi inasonga mbele kwa kasi Tozo zinajenga nchi ,matumizi yamebanwa , pesa haziibiwi, mafisadi yamebanwa, raha sana
View attachment 2334257View attachment 2334258
Hizi ni kutokea kwenye takwimu za moto moto tokea kwenye sensa?
 
With holding tax hulipwa na anayefanya malipo, yaani kwa lugha nyingine ni kama anakuwa wakala wa TRA...

Anazuia hiyo 10% ya malipo ya pango, na anapaswa kuireturn TRA...
Ahahahahah kwahio kama kodi ni laki 6 unazuia elfu 60 au sio? 😂😂😂 wacha nijiandae kuhamia burundi sasa. Maana sahizi sehemu za kulala zimegeuzwa fremu za biashara
 
Ahahahahah kwahio kama kodi ni laki 6 unazuia elfu 60 au sio? 😂😂😂 wacha nijiandae kuhamia burundi sasa. Maana sahizi sehemu za kulala zimegeuzwa fremu za biashara

Naam, na unapaswa kui surrender TRA...
 
Hatari sana. Hiyo 10 ni zaidi ya kodi ya mwezi mmoja. So utoe ya dalali na kodi. Utakuwa unalipia miezi kama 14 kwa mwaka.

Japo hii kodi inamhusu mwenye nyumba, lakini wataumia wapangaji.
 
With holding tax hulipwa na anayefanya malipo, yaani kwa lugha nyingine ni kama anakuwa wakala wa TRA...

Anazuia hiyo 10% ya malipo ya pango, na anapaswa kuireturn TRA...
Kwa unavyoona ndugu hili jambo linawezekana kwa nyumba za kupanga za makaz

Maana mwenye nyumba yeye anataka pesa yake na uzuri hakupi mkataba hadi hela yake itimie

Hapa ninachokiona ni wapangaji ndio tunaenda kuumia hapa.
 
Nyumba za kupanga sio biashara rasmi sana ndio maana wengi hatujui...

Lakini kwa watu wenye fremu, apartments zenye leseni ya biashara huwa wanafanya withholding tax kwa niaba ya wapangaji...

Hivyo wewe mpangaji utaona umetoa kodi yako kama kawaida, lakini mwenye nyumba anarejesha 10% ya serikali huko 'tiaraei'...
 
Back
Top Bottom