Kaka wapangaji ndio inaenda kula kwetu hii kodi ilipaswa mwenye nyumba ndio aiwasilishe baada ya kulipwaMpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.
Wanalipaga hiyo kodi kila mwakaHiyo ni kwa Waswahili walala hoi weusi tu, apartments za Wahindi/Waarabu/Irani Oysterbay Upanga au Masaki hawatalipa hata shilingi, na wakigusa hapo mwisho wao umewadia, β¦
πππKwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kuptitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa;
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.
Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya mabadiliko ya sheria ya kodi mwaka 2022 wilayani Bariadi, Ofisa huduma na elimu mkuu kutoka TRA, Eugenia Mkumbo amesema kifungu cha 82(2) (a) cha sheria ya kodi kimefuta msamaha wa kodi kwa wapangaji binafsi hivyo kuwapa mamlaka wapangaji wote kuzuia kodi ya pango katika nyumba binafsi na zile za biashara ili kurahisisha ulipaji na ukusanyaji wa kodi ya pango.
"Kama umepanga chumba kiwe cha biashara au makazi unajukumu la kukata asilimia 10 na kuilipa TRA na mwenye nyumba utampelekea nakala ambayo inaonyesha umelipia kodi utaambatanisha na pesa iliyobaki unampa mwenye nyumba" amesema Eugenia.
My take
Awamu ya sita inazidi kuupiga mwingi na kuleta furaha katika mioyo na nyuso za watanzania, ama kwa hakika watanzania Mungu awape nini tena ? manataka Rais wa aina gani nyie? nchi inasonga mbele kwa kasi Tozo zinajenga nchi ,matumizi yamebanwa , pesa haziibiwi, mafisadi yamebanwa, raha sana
View attachment 2334257hii nchi hii
Najua hlo kwa upande wa biashara na kinachofanya huko iwe na wepesi ni kwasababu mfanyabiashara anahitaj idhini ya TRA na hatua hyo ya kulpa hyo 10% ni kigezo kimoja wapoNyumba za kupanga sio biashara rasmi sana ndio maana wengi hatujui...
Lakini kwa watu wenye fremu, apartments zenye leseni ya biashara huwa wanafanya withholding tax kwa niaba ya wapangaji...
Hivyo wewe mpangaji utaona umetoa kodi yako kama kawaida, lakini mwenye nyumba anarejesha 10% ya serikali huko 'tiaraei'...
Ndugu yangu, hao wanalipa sana. Tena wapangaji wao(mostly expatriates) wako mstari wa mbele kuhakikisha imelipwa. Shida iko kwetu waswahili.Hiyo ni kwa Waswahili walala hoi weusi tu, apartments za Wahindi/Waarabu/Irani Oysterbay Upanga au Masaki hawatalipa hata shilingi, na wakigusa hapo mwisho wao umewadia, β¦
Hii ilikuwepo kitambo tu sema walipaji hiyo walikuwa wachacheHakuna rangi hatutaona
Wewe ndio unatakiwa kisheria kuwasilisha hio kodi.Kwani ukiwaambia ulishalipa kodi ya miaka 7 na pesa yote ulimpa mwenye nyumba naye kaitumia, hapo kikokotoo kinasemaje?
Nimesoma na kuelewa ila nimehisi watu wengi hawajaelewaKwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kuptitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa;
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.
Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya mabadiliko ya sheria ya kodi mwaka 2022 wilayani Bariadi, Ofisa huduma na elimu mkuu kutoka TRA, Eugenia Mkumbo amesema kifungu cha 82(2) (a) cha sheria ya kodi kimefuta msamaha wa kodi kwa wapangaji binafsi hivyo kuwapa mamlaka wapangaji wote kuzuia kodi ya pango katika nyumba binafsi na zile za biashara ili kurahisisha ulipaji na ukusanyaji wa kodi ya pango.
"Kama umepanga chumba kiwe cha biashara au makazi unajukumu la kukata asilimia 10 na kuilipa TRA na mwenye nyumba utampelekea nakala ambayo inaonyesha umelipia kodi utaambatanisha na pesa iliyobaki unampa mwenye nyumba" amesema Eugenia.
My take
Awamu ya sita inazidi kuupiga mwingi na kuleta furaha katika mioyo na nyuso za watanzania, ama kwa hakika watanzania Mungu awape nini tena ? manataka Rais wa aina gani nyie? nchi inasonga mbele kwa kasi Tozo zinajenga nchi ,matumizi yamebanwa , pesa haziibiwi, mafisadi yamebanwa, raha sana
Ipo na ilikuwepo tokea zamani tuNaona raia wengi hawajui hii kitu...
Mwenye nyumba hatokubaliMpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.
Nyumba iko kinondoni mfanoBora mpitie kwenye umeme ila kwa live bila chenga mtaisoma namba
Sasa nawasilishaje kodi ambayo nimeilipa kabla ya sheria kutungwa?Wewe ndio unatakiwa kisheria kuwasilisha hio kodi.
Wenye apartment wote wanalipia hiyoNyumba za kupanga sio biashara rasmi sana ndio maana wengi hatujui...
Lakini kwa watu wenye fremu, apartments zenye leseni ya biashara huwa wanafanya withholding tax kwa niaba ya wapangaji...
Hivyo wewe mpangaji utaona umetoa kodi yako kama kawaida, lakini mwenye nyumba anarejesha 10% ya serikali huko 'tiaraei'...
Wananchi wanasahau kuwa nchi zinaendelea kwasababu ya kodi. Hatutakiwi kugomea kodi, tunatakiwa kupaza sauti kodi zetu zitumike vizuri kwa maendeleo yetu.Nimekaa nikawaza pamoja na kuumizwa na tozo mbalimbali na sasa kodi hii mpya inayotaka kuanza. Inawezekana ikawa ni kwa ustawi na faida ya nchi yetu zaidi ya kufanya kazi za maendeleo. Nitafafanua.
Watanzania wengi wamekuwa sio walinzi wa mali za umma wakiamini ni za serikali na haziwahusu. Mali nyingi za umma zimekuwa zikihujumiwa sana kwa mfano watu kuiba vyuma kwenye daraja la busisi au kuiba cement kwenye ujenzi wa madarasa au mabarabara. Inawezekana kabisa hii ilisababishwa na misaada na mikopo hivyo watu wakaona vinakuja tu na vingine vitakuja. Nyumba ya kujenga mwenyewe utaidhamini na kuitunza vivyo hivyo kwa gari binafsi uliyoinunua kwa jasho lzm uwe na uchungu nayo. Sasa hoja yangu ni ipi? Hizi tozo na kodi pengine zitabadilisha mtazamo juu ya mali ya umma watu wajue ni ya kwao. Itasaidia watu kuwa wakali wakiona matumizi mabaya ya pesa zao. Itakuwa sio Rais katoa pesa itakuwa ni serikali ya watu imetoa pesa....pesa ni ya serikali......ni ya watu.......tunaumia lkn mentality zitabadilika na kuanza kuwa wafuatiliaji wazuri wa miradi ya maendeleo na kujali mali ya umma. Adios...
Ahahahahah kwahio kama kodi ni laki 6 unazuia elfu 60 au sio? πππ wacha nijiandae kuhamia burundi sasa. Maana sahizi sehemu za kulala zimegeuzwa fremu za biashara