Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

Kuna kodi nyingi tu na wakisema wazifurumue watu watapagawa

Ova
Kabisa mkuu watu wanachimba visima nyumbani hawajui wamekiuka kibali kwanza,pia ni kinyume na sheria..

Ukija kwenye ujenzi ndio kabisaa huruhusiwi kujenga bila kibali wakifuatilia watu watapoteana.
 
Inaonekana wengi hamjaelewa mnakurupuka tu kulalamika.. hapo ni kwamba kama Unalipa kodi sh 100,000 basi utakata 10% kwenye hyo kodi ambayo ni sawa na 10,000 then Unalipa TRA hyo inayobaki 90,000 ndio unalipa kodi... sasa watanzania wapangaji wenzangu kinachowaumiza nini😎
 
Kwa lugha nyingine, muda si mrefu TRA au serikali inaweza ikairasimisha biashara ya nyumba za kupanga, ikalazimu mtu awe na kibali na leseni ya biashara 😊
Bila shaka ndio tunaenda huko,ulibainika unapangisha bila leseni manake wewe ni mhujimu uchumi ndio maana wamewataka madalali wawe na leseni na wawe na ofisi.
 
Jamani kama.wapangaji wakatwe ,why watukate wapangishaji ,na kodi za nyumba mbona tunalipa nyuuuu,kodi za ardhi tunalipa mbona mtatuua?
 
Sasa kwanini asidaiwe mwenye nyumba aje kudaiwa mpangaji ambae hamiliki hyo nyumba

Hizi sheria zetu zinahitaji maboresho.
Sheria yeyote ya withholding tax, mlipaji ndiye anayezuia hiyo 10% na kuipeleka TRA
Sasa ikitokea hujaishikilia wewe mlipaji utalazimika kulipa hiyo 10% kwa hela zako.

Ndio maana hizi Kodi zikaitw WITHHOLDING TAX na iliyomaarufu zaidi ni withholding tax on rent na withholding tax on services
 
NI UZALENDO KULIPA KODI
KUHOJI HOJI MATUMIZI YAKE NI ..................
 
Wananchi wanasahau kuwa nchi zinaendelea kwasababu ya kodi. Hatutakiwi kugomea kodi, tunatakiwa kupaza sauti kodi zetu zitumike vizuri kwa maendeleo yetu.
UNAONEKANA NI MGENI KWENYE HIZI NCHI ZA KIAFRIKA
 
Viongozi wa Africa hawajawahi kuwa na Uzalendo na Kodi za wananchi,wengi wao wanatumia Kodi za wananchi kujinufaisha,haya mambo tuwaachie wazungu aisee.
 
Back
Top Bottom