OprahEmm
Member
- Aug 22, 2022
- 6
- 5
kabisaNaona kama kuna mtu anatuamsha watz ila sisi hatutaki kuamka tunabaki kulalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaNaona kama kuna mtu anatuamsha watz ila sisi hatutaki kuamka tunabaki kulalamika
Kabisa mkuu watu wanachimba visima nyumbani hawajui wamekiuka kibali kwanza,pia ni kinyume na sheria..Kuna kodi nyingi tu na wakisema wazifurumue watu watapagawa
Ova
Akiongeza Kodi atapanga mwenyewe kwani nyumba ni moja hapa mjini?Hiyo kodi mpangaji ndiye atakayeumia. Mwenyenyumba anakuongezea kodi tu ili ipatikane ya TRA chake kinabaki palepale
Bila shaka ndio tunaenda huko,ulibainika unapangisha bila leseni manake wewe ni mhujimu uchumi ndio maana wamewataka madalali wawe na leseni na wawe na ofisi.Kwa lugha nyingine, muda si mrefu TRA au serikali inaweza ikairasimisha biashara ya nyumba za kupanga, ikalazimu mtu awe na kibali na leseni ya biashara 😊
Au nasema uwongo ndugu zangu?
Jambo la Mama ni jambo letu sote.
Sheria yeyote ya withholding tax, mlipaji ndiye anayezuia hiyo 10% na kuipeleka TRASasa kwanini asidaiwe mwenye nyumba aje kudaiwa mpangaji ambae hamiliki hyo nyumba
Hizi sheria zetu zinahitaji maboresho.
Duh huyo anaepita na kiroba tozo zake ndio zimenunua hio gari. Ila huko tuendapo sio kuzuri.
UNAONEKANA NI MGENI KWENYE HIZI NCHI ZA KIAFRIKAWananchi wanasahau kuwa nchi zinaendelea kwasababu ya kodi. Hatutakiwi kugomea kodi, tunatakiwa kupaza sauti kodi zetu zitumike vizuri kwa maendeleo yetu.
Na ukishavuliwa ulipie tozo ya kuvuliwa 🙂Kilichobaki kuvuliwa nguo tu.
Ni kweli mkuu.UNAONEKANA NI MGENI KWENYE HIZI NCHI ZA KIAFRIKA
CCM mberee Kwa mberee
You're missed dada mkubwa[emoji7]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
CCM mberee Kwa mberee
You're missed dada mkubwa[emoji7]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app