Raisi wa marekani wapo kwenye kikao na raisi wa korea kuhusu mabomu ya nyukliaHuyo Alli Kiba ndio nani..!!??
Lowassa ana ma V8,hummer,Range rover,lexus LX 570 etc kwanini alipanda daladala kipindi cha kampeni za urais?Hivi kupanda daladala nako anahukumiwa mtu? If I get free milk why I keep a cow? Sasa mtu ana VITS ya kwake why akabanane huko? Bongo bahati mbaya kwlkwl
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumo wa radi mwanawane!Hivi radi huwa linavuma au linaunguruma....anatudanganya watu wa zima kama watoto
Maudhui ya wimbo ni sawa ( Tupendane,Ametaja baadhi ya nchi za Africa zikiwemo Africa mashariki na Kati)Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
Huoni alikiba alitakiwa na yeye apige kampeni za kuongeza wateja wake?ALIKUWA ANAPIGA KAMPENI
kweli kabisa kila saa wanamuanzia topic... kwanini wasimuongelee TID, Z anto au hata Kr Muller?Ukiona unasemwa Jua upo mawazoni mwao