Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Hivi kupanda daladala nako anahukumiwa mtu? If I get free milk why I keep a cow? Sasa mtu ana VITS ya kwake why akabanane huko? Bongo bahati mbaya kwlkwl
 
Jamaa yupo social tuu muache kumsingizia,kwasisi tunaecheza nae ndondo huku tabata-sigara ndio tunajua
 
Hivi kupanda daladala nako anahukumiwa mtu? If I get free milk why I keep a cow? Sasa mtu ana VITS ya kwake why akabanane huko? Bongo bahati mbaya kwlkwl
Lowassa ana ma V8,hummer,Range rover,lexus LX 570 etc kwanini alipanda daladala kipindi cha kampeni za urais?
 
yani hapo kwenye kusalimiana nimemshusha sana inamaana yeye ni mkubwa sana kulinganisha na wale waliomsalimia dai kwa kusimama na kunyoodha mkono vizuri? dah

acha ale jeuri yake
 
Hivi radi huwa linavuma au linaunguruma....anatudanganya watu wa zima kama watoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumo wa radi mwanawane!
 


Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...

Maudhui ya wimbo ni sawa ( Tupendane,Ametaja baadhi ya nchi za Africa zikiwemo Africa mashariki na Kati)
Kamtakia mpenziwe asibabaishwe na maboss lady(#@$&) na watu wenye fweza.
Melody ya wimbo ni muendelezo wa Alama ya Ali Kiba. Identity yake imebaki kuwa ileile.
Pia promotion ya bidhaa yake ( kinywaji) imetumika hapa japo imechukua sekunde chache sana. Na haikuonesha effect ya bidhaa kwa mtumiaji.
Uchambuzi wa Kifasihi na sio wa Teams.
 
Kwanza mie sitakagi hata kumsikia
kuna mtu kasema katoa wimbo
Mbona sijasikia kitaani!!
 
Hata ukiwa na dharau ukitoa nyimbo kali watu watasikiliza tu hata kwa kujificha.. Kifupi hii nyimbo mi naona ya kawaida sana ndo mana inaenda slow.. Hizo nyingine mbwembwe
 
Views imekuwa chache kutokana na suala la kimtandao na sio kuwa chache tyu Bali kukwama bila kuongezeka ndani ya saa 22
 
Pumba tupu... siku tatu views laki 9 kibongo bongo unasema chache? Wewe ulitaka mpaka ziwe ngapi ndipo useme nyingi...?
 
Back
Top Bottom