Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Mziki ni mzuri yaan nimeupenda jamo katembelea kwenye beat ya Dushelele Ila ni mzuri sana kanikera sehem moja tu kupiga story zikawa nyingi ndani ya nyimbo
 
Sikutaka kucomment hadi nipate wasaa wa kuisikiliza AUDIO yake then nichek VIDEO yake..
Maoni yangu.. kama unapenda mziki nzuri na unaoeleweka basi hii nyimbo ni bora sana kwa huu mwaka kushinda ALBAM yote ya MOND...
Lakini kama unataka ucheze hadi vumbi litimke juu basi KWANGWARU inakufaa..
NGOMA KALI SANA TUACHAGE WIVU WA KIPUUZI..
 
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...
Hakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
 
Nyimbo takataka kabisa yani bongofleva ishakufa aisee kama wasanii wenye majina ndo wanatoa nyimbo mbovu ivi hao ambao hawavumi lakini wamo sijui wana hali gani!

Jagwa music ndo wataotutoa kimataifa.
Aminini maneno yangu!
Jangwa music ni akina nani?
 
we ndo hujui muziki kweli,kati ya kwangaru na huu ni upi wimbo wa kutoka majasho na kupauka miguu kwa vumbi?
 
Jangwa music ni akina nani?
Nenda yuotube search Jagwa Music Dege la Jeshi halafu angalia shows zao wanazopiga Ulaya .

Hao ndo wasanii pekee wa Tanganyika wanaofanya "Show za kweli" nchi za mbele!

Sio hao Alikiba na diamond wanaenda kufanya show kwenye birthday party na vitchen party kwa Watanganyika wanaoishi mbele halafu wanakuja kusema eti nilikua na show America wakati wameenda kuwafanyia show jamii ya waTanganyika wanaoishi huko.

Angalia shows za Jagwa full ngozi nyeupe alafu shangwe za kutosha hakuna kukata viuono wala nini..
 
UKISEMA NI COPY UNAMAANISHA NNI, MANA HATA IZO AFRO POP... BEATS ZAKE NI TREANDING YA MZIKI WA ZAMAN
mziki wa zamani wa kiafrica yaani hauna kwao na maanisha hakuna taifa ambalo ni muasisi wa afropop" lakini ule mziki mnaoimba nyie unafahamika kabisa kuwa nitrending kutoka Nigeria...na mbunifu wake wa hii tempo ya trending ya mziki wa Nigeria wa sasa ni run town ""upo hapo..?"" tukianza kuzungumzia masuala ya copy hapa tutakesha maana hata mimi na wewe pia tuna copy na kupest "" haya maandishi tunayoyaandika hapa hatukuyabuni sisi ""
 
Bonge moja la Ngoma!
Hakuna Mitusi kama ya wale watoto wa tandale!
 
shikamoooo....agiza mo faya..naja kulipa..mziki mzuri ..kwa magentleman....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…