Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Cheketua si ndio hii?
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
Jangwa music ni akina nani?Nyimbo takataka kabisa yani bongofleva ishakufa aisee kama wasanii wenye majina ndo wanatoa nyimbo mbovu ivi hao ambao hawavumi lakini wamo sijui wana hali gani!
Jagwa music ndo wataotutoa kimataifa.
Aminini maneno yangu!
we ndo hujui muziki kweli,kati ya kwangaru na huu ni upi wimbo wa kutoka majasho na kupauka miguu kwa vumbi?Sikutaka kucomment hadi nipate wasaa wa kuisikiliza AUDIO yake then nichek VIDEO yake..
Maoni yangu.. kama unapenda mziki nzuri na unaoeleweka basi hii nyimbo ni bora sana kwa huu mwaka kushinda ALBAM yote ya MOND...
Lakini kama unataka ucheze hadi vumbi litimke juu basi KWANGWARU inakufaa..
NGOMA KALI SANA TUACHAGE WIVU WA KIPUUZI..
crauds?????????Huyu jamaa anapewa promo na crauds. Lakini ngoma ni ya kawaida mno
Nenda yuotube search Jagwa Music Dege la Jeshi halafu angalia shows zao wanazopiga Ulaya .Jangwa music ni akina nani?
Ashaaaaaaa nambie ukweli,kama hunitaki usinitapeliJangwa music ni akina nani?
Mwambie Jamaa aionee huruma lugha adhimu ya Kiswahili..crauds?????????
mziki wa zamani wa kiafrica yaani hauna kwao na maanisha hakuna taifa ambalo ni muasisi wa afropop" lakini ule mziki mnaoimba nyie unafahamika kabisa kuwa nitrending kutoka Nigeria...na mbunifu wake wa hii tempo ya trending ya mziki wa Nigeria wa sasa ni run town ""upo hapo..?"" tukianza kuzungumzia masuala ya copy hapa tutakesha maana hata mimi na wewe pia tuna copy na kupest "" haya maandishi tunayoyaandika hapa hatukuyabuni sisi ""UKISEMA NI COPY UNAMAANISHA NNI, MANA HATA IZO AFRO POP... BEATS ZAKE NI TREANDING YA MZIKI WA ZAMAN
shikamoooo....agiza mo faya..naja kulipa..mziki mzuri ..kwa magentleman....Sikutaka kucomment hadi nipate wasaa wa kuisikiliza AUDIO yake then nichek VIDEO yake..
Maoni yangu.. kama unapenda mziki nzuri na unaoeleweka basi hii nyimbo ni bora sana kwa huu mwaka kushinda ALBAM yote ya MOND...
Lakini kama unataka ucheze hadi vumbi litimke juu basi KWANGWARU inakufaa..
NGOMA KALI SANA TUACHAGE WIVU WA KIPUUZI..