Jamani Mimi sio expart saaaaaaana wa muziki but naujua muziki vizuri, sita shindanisha msanii na msanii bali ntaelezea kwa nilivyo upokea huo wimbo,
Wimbo ni mzuri jamani, upo tofauti na zinazo trend kwa sasa, unaladha tofauti unachezeka na hata video ipo so unique na haina ule umarekani mwiiiiiiiingi.
Alafu the more you listen to that song, the more unauinjoy, na nimoja ya nyimbk za alikiba zitakazo na zitaishi muda mrefu.
kwanini wimbo huu utakaa mda refu; ni kwasababu hauko sawa na nyimbo zingine nyiingi zinazotoka kila siku,
Wasanii wengi wanaigana kuimba, kucheza na hata ladha ya mziki imefika mahala inabid utajiwe jina la msanii ndio ujue okey this is flani,
Alikiba yeye amejikita na style yake ya mziki, na hata ladha anayo tengeneza ya mziki wake ni uniuque, so good to him.
Wanao uona wimbo huu wakawaida thats good maana ukawaida wa nyimbo ndio uifanya nyimbo iishi muda mrefu!!!
Leo ikipigwa mwana, cheketua, dushelele au nagharamia still unazisikia ni za moto moto the same way wakati zinatoka watu walisema those were bad songs, but still mpaka leo utaona zinamashabiki na zinachezeka.
So this guy he is in his own zone. Tumuache you dont like the song just put thumb down but kwangu mimi the song is grait na thumbs up!!!