hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
nadhani wajuaga mwenyew sio mpaka nikuombe unitumie""hebu Fanya kuisendoff aiseeKiba ni mfalme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani wajuaga mwenyew sio mpaka nikuombe unitumie""hebu Fanya kuisendoff aiseeKiba ni mfalme
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
safi yanatakiwa mawazo ya kujenga kama aya...Wimbo mzuri sana na amatumia ubunifu mwingi kweli, kuanzia mavazi na screen play zimekaa vizuri sana.
NB: Japo umeiga vitu vingi sana kutoka kwenye Video ya Kendrick Lamar "All the Stars" kuanzia suti na Kofia, na jinsi majamaa zako wawili walivyokaa huko nyuma yako, kukunja miguu yao, pamoja na kukunja nne juu ya kiti.
------Yote tisa kichupa kikali sana mwisho wa siku lazima Sanaa ya Bongo iende mbelee zaidi-----
daaahhhh"" bongo watu wanafiki sana...KINANDA ni bonge la nyimbo lakini wanaajifnya kama hawalioni...yaani kwa upande wangu ndio nyimbo bora ya huu mwaka""sio mchezo aisseeWacha niendelee kuburudika na kinanda
haya maneno yako ni cancer ya akili kwa watu wenye chuki "" hawawezi kuelewa ukichokisemaWimbo mzuri sana na amatumia ubunifu mwingi kweli, kuanzia mavazi na screen play zimekaa vizuri sana.
NB: Japo umeiga vitu vingi sana kutoka kwenye Video ya Kendrick Lamar "All the Stars" kuanzia suti na Kofia, na jinsi majamaa zako wawili walivyokaa huko nyuma yako, kukunja miguu yao, pamoja na kukunja nne juu ya kiti.
------Yote tisa kichupa kikali sana mwisho wa siku lazima Sanaa ya Bongo iende mbelee zaidi-----
Hahahaha sijaipata bado,mpaka nikaipakuenadhani wajuaga mwenyew sio mpaka nikuombe unitumie""hebu Fanya kuisendoff aisee
yaani wasubiri nini sasa "" kuanzia leo " sikupi muhogo wa jang'ombeHahahaha sijaipata bado,mpaka nikaipakue
pitia hii comment" nilikwambia kuwa Kibanda ni balaa ukabisha Jolie JolieWacha niendelee kuburudika na kinanda