Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Wimbo mzuri sana na amatumia ubunifu mwingi kweli, kuanzia mavazi na screen play zimekaa vizuri sana.

NB: Japo umeiga vitu vingi sana kutoka kwenye Video ya Kendrick Lamar "All the Stars" kuanzia suti na Kofia, na jinsi majamaa zako wawili walivyokaa huko nyuma yako, kukunja miguu yao, pamoja na kukunja nne juu ya kiti.

------Yote tisa kichupa kikali sana mwisho wa siku lazima Sanaa ya Bongo iende mbelee zaidi-----
 
Huyu ni ndiye Ali Kiba tuliyemjua kipindi kileee amerudi na tena na brand yake orijino iliyopendwa siyo na vijana tu bali mpaka na watu wa rika mbalimbali. Kiwango cha video ni "super" lakini ametunyima utamu kwa kuweka "pause" kubwa katikati ya muziki.
 
Jamani Mimi sio expart saaaaaaana wa muziki but naujua muziki vizuri, sita shindanisha msanii na msanii bali ntaelezea kwa nilivyo upokea huo wimbo,

Wimbo ni mzuri jamani, upo tofauti na zinazo trend kwa sasa, unaladha tofauti unachezeka na hata video ipo so unique na haina ule umarekani mwiiiiiiiingi.

Alafu the more you listen to that song, the more unauinjoy, na nimoja ya nyimbk za alikiba zitakazo na zitaishi muda mrefu.

kwanini wimbo huu utakaa mda refu; ni kwasababu hauko sawa na nyimbo zingine nyiingi zinazotoka kila siku,

Wasanii wengi wanaigana kuimba, kucheza na hata ladha ya mziki imefika mahala inabid utajiwe jina la msanii ndio ujue okey this is flani,

Alikiba yeye amejikita na style yake ya mziki, na hata ladha anayo tengeneza ya mziki wake ni uniuque, so good to him.

Wanao uona wimbo huu wakawaida thats good maana ukawaida wa nyimbo ndio uifanya nyimbo iishi muda mrefu!!!

Leo ikipigwa mwana, cheketua, dushelele au nagharamia still unazisikia ni za moto moto the same way wakati zinatoka watu walisema those were bad songs, but still mpaka leo utaona zinamashabiki na zinachezeka.

So this guy he is in his own zone. Tumuache you dont like the song just put thumb down but kwangu mimi the song is grait na thumbs up!!!
 
G

Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...

FM ACADEMIA
 
Frankly! lets be subjective in judging sio kuendeleza utimu usio na sababu. For this kind of music nafikiri ipo haja ya watu wake wa karibu kumshauri badala ya kumvimbisha kichwa, i dare to say alikiba intended to compete with christian bella and other local musician... kwa nyimbo hii itakuwa kosa la jinai kumwita mfalme huku nguvu kubwa ikiwekezwa apandishe juu... ukiskiliza wimbo wa fid q propanganda u will realize my point. the guy is very disappointing his fans ila ndo hivyo hawana namna.
 
Wimbo mzuri sana na amatumia ubunifu mwingi kweli, kuanzia mavazi na screen play zimekaa vizuri sana.

NB: Japo umeiga vitu vingi sana kutoka kwenye Video ya Kendrick Lamar "All the Stars" kuanzia suti na Kofia, na jinsi majamaa zako wawili walivyokaa huko nyuma yako, kukunja miguu yao, pamoja na kukunja nne juu ya kiti.

------Yote tisa kichupa kikali sana mwisho wa siku lazima Sanaa ya Bongo iende mbelee zaidi-----
safi yanatakiwa mawazo ya kujenga kama aya...
 
Wimbo mzuri sana na amatumia ubunifu mwingi kweli, kuanzia mavazi na screen play zimekaa vizuri sana.

NB: Japo umeiga vitu vingi sana kutoka kwenye Video ya Kendrick Lamar "All the Stars" kuanzia suti na Kofia, na jinsi majamaa zako wawili walivyokaa huko nyuma yako, kukunja miguu yao, pamoja na kukunja nne juu ya kiti.

------Yote tisa kichupa kikali sana mwisho wa siku lazima Sanaa ya Bongo iende mbelee zaidi-----
haya maneno yako ni cancer ya akili kwa watu wenye chuki "" hawawezi kuelewa ukichokisema
 
Back
Top Bottom