Haka kajamaa hua kanajiamini sana na anachokofanya [emoji23][emoji23] mashabiki zake wote ni manunda wa kutupwa hapo hawana shida tena watakutana nae mwakani alafu poa tu,ngoma imetoka bila vurugu za mitandaoni mara yuko uchi na Jokate sijui kamtusi nani hapana duh mwendawazimu sana uyu dogo.
Sio shabiki wa aina hii ya muziki na sijawai kua shabiki wa Afro Pop kivileeee ila nilichokubali ni utulivu wake kwenye kile anafanya hakuna rabsha nadhani mashabiki wa aina hii ya muziki watakua wamepata burudani yao na naamini Man Walter na Kiba wana combo safi linapokuja kwenye genre hii ya music.