Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Duh, mi ngoma za kiba naipenda moja tu mapenzi yanarun dunia, afu ndo hana mpango nayo hata video hajaitengenezea. Ila kiba atasubiri sana tu kwa mond
 
Haka kajamaa hua kanajiamini sana na anachokofanya [emoji23][emoji23] mashabiki zake wote ni manunda wa kutupwa hapo hawana shida tena watakutana nae mwakani alafu poa tu,ngoma imetoka bila vurugu za mitandaoni mara yuko uchi na Jokate sijui kamtusi nani hapana duh mwendawazimu sana uyu dogo.
Sio shabiki wa aina hii ya muziki na sijawai kua shabiki wa Afro Pop kivileeee ila nilichokubali ni utulivu wake kwenye kile anafanya hakuna rabsha nadhani mashabiki wa aina hii ya muziki watakua wamepata burudani yao na naamini Man Walter na Kiba wana combo safi linapokuja kwenye genre hii ya music.
 
hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
Mkuu upo kama mimi. Ali kiba anafanya vitu ambavyo hata ukikaa na wanao hujisikii noma kusikiliza au kuangalia kutokana na tamaduni zetu.

Big up Ali kiba. Ngoma nimeielewa
 
Sijawahi kumpenda Alikiba, ingawa haimanishi nampenda domo..!
 
Back
Top Bottom