Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Duh, mi ngoma za kiba naipenda moja tu mapenzi yanarun dunia, afu ndo hana mpango nayo hata video hajaitengenezea. Ila kiba atasubiri sana tu kwa mond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia video hio upate informationUnatafuta views kwa nguvu?
[emoji23] [emoji23] ngoja nifanye himayaani wasubiri nini sasa "" kuanzia leo " sikupi muhogo wa jang'ombe
Unatafuta views kwa nguvu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikwambia subiri nifanye mrudio wa kuiskiliza ndo niipe maksipitia hii comment" nilikwambia kuwa Kibanda ni balaa ukabisha Jolie Jolie
Hebu sikiliza hii video kiba ni muongo
Mkuu upo kama mimi. Ali kiba anafanya vitu ambavyo hata ukikaa na wanao hujisikii noma kusikiliza au kuangalia kutokana na tamaduni zetu.hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
Hasa wale wapenda video zenye show off na mbwembwe kibao. Wao wanaitaga swaggsngoma classic kwa sie wahenga.....
nzurii sana!! ila SIO kwa vijana ambao hawaja maliza balehe
Hahaaaaa....Hare Keba seyo muhongo, Hare Keba hurime wake humetereza tu