Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Unatafuta basha nini wewe choko?
sasa ningekua timu ya mtu mbona nimesema hao wasanii wenye majina makubwa wanatoa boko yani uyo alikiba na uyo diamond wote mapimbi tu mbona kama wewe!

Mimi sio disciple wa mbwiga yoyote yule.
Naongea facts thats all MF!
Wapakuliwaji utawajua tu.
 
Team ndomo
 
Ngoma kali sana kwa wajuzi wa music ila ushauri wangu abadiri broducer sasa Man water tumemchoka na hivyo mikono yake kama sare za shule, kwenye seduce alibadirika ila kwa hii karudi kulekule....

Kweli Kibaday
 
hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
ila una copy ya Congo...au siyo?
 
ila una copy ya Congo...au siyo?
una mahadhi ya afropop..nisawa na mwana..ni sawa na dushelele "" muwe mnajifunza kujua aina ya muziki jamani mnatuchosha...afropop ..ni aina ya muziki ambao hauna taifa isipokuwa nimziki wa Africa nzima
 
Ngoma kali sana kwa wajuzi wa music ila ushauri wangu abadiri broducer sasa Man water tumemchoka na hivyo mikono yake kama sare za shule, kwenye seduce alibadirika ila kwa hii karudi kulekule....

Kweli Kibaday
ngoma Kali sana....kwakweli sijaona sababu ya kubadilika ..kwa sbbu wasanii wote wanaofnya mziki kwa sasa wanafanya mziki wa aina moja yaani trending ya mziki niile ile "" copy kutoka Nigeria"" lakini yey amekuja na mahadhi ya afropop ambayo yalikuwa yameshstoweka kwenye soko kwaajili ya wasanii wabongo kupenda kufuata mkumbo"" lakini yeye anasafiri katika uwezo wake binafsi...nahiyo ndio maana halisi ya mwanamuziki lazima uwe inique .....

haya mawazo ni afya kwa wanaojua muziki tu
 
ile ni afropop MZee "" ni mziki ambao ndio asili ya Africa nzima ...ule mziki hauna kwao " haha
ngoma Kali sana....kwakweli sijaona sababu ya kubadilika ..kwa sbbu wasanii wote wanaofnya mziki kwa sasa wanafanya mziki wa aina moja yaani trending ya mziki niile ile "" copy kutoka Nigeria"" lakini yey amekuja na mahadhi ya afropop ambayo yalikuwa yameshstoweka kwenye soko kwaajili ya wasanii wabongo kupenda kufuata mkumbo"" lakini yeye anasafiri katika uwezo wake binafsi...nahiyo ndio maana halisi ya mwanamuziki lazima uwe inique .....

haya mawazo ni afya kwa wanaojua muziki tu
UKISEMA NI COPY UNAMAANISHA NNI, MANA HATA IZO AFRO POP... BEATS ZAKE NI TREANDING YA MZIKI WA ZAMAN
 
Back
Top Bottom