Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Kinanda ni balaa aisee tatizo bongo uteam usio na faida ni mwingi... napenda music industry ya Nigeria, ukitoa nyimbo tamu lazima itoboe huku davido, huku wizkid mara tekno, huku mr eazi, pale runtown, hapa timaya, kati mzee wa sisi maria pale patoranking bado hujakuana na tiwa, pale yemi alade.
No wonder disco zao ni 90% nyimbo za nyumbani.
yaap na hiki ndio kinacho tumaliza wabongo fitna nyingi mpaka kwenye vitu vya msingi "" ule wimbo wa kinanda ulipaswa kumpaisha mnooo mensen lakini masikini wabongo tunajifnya kama hatuusikii"" wimbo mzuri lakini tumeshindwa kumtendea haki Mwenye nao"" support ambayo wimbo ule unaipata haifanani na Hadji/ukubwa/uzuri wake"" ile nyimbo ni balaaaaaa narudia tena ile ngoma ni balaaaaaa"" beat yake inafanana na wimbo wa timaya ft rude boy
 
Ngoma ya Kawaida sanaaaa tuuuu.....Ya kawaida sanaaaa
 
IMG_1142.JPG
 
Viewers 388k kwa masaa 8 daah!!! You tube pagum sana aisee
 
Wimbo mzuri classic utavuma ni lazima uvume ni mzuri.
Halafu mimi napenda video za Alikiba za kipekee flani hivi hazina mambo mengi na migari na masofa meupe
Ila kuna jambo uwa nina jiuliza, kwenye vipindi vya Bongo fleva utakuta wanapiga huu wimbo wakati uko kam sebene ila kisa kaimba Alikiba lakini huwezi kukuta wanapiga sebene la Nyoshi au la Twanga Pepeta.
Sijui kwanini
hahaaa"" mkuu nyimbo za twanga na FM zile zina dakika 10 "" ukipiga nyimbo 4 tu '' kipindi siutkuta kimeshaisha bila hata ya kupiga matangazo ....hahaa waambie wabadilike "" maana hata fally ipupa huwa ana realise nyimbo zenye dakika fupi ili aweze kwenda sawa na demand ya soko "" Hawa muoni mwenzao Bella kachange mbona hawaigi hilo
 
hahaaaa anasemaje huyooo?? haya wenye ukurutu mnaitwa huko "" dawa yenu imeshapatikana"" kuna wengine mnaukurutu mpaka kwenye kolomelo"" mnasubir wanaume wenzenu wafanye kazi nyie muanze kukuna ukurutu wenu kwenye makoo yenu ""nakuanza kutema shit"" wakati huo huo mnasahau kuwa hata mjumbe wa nyumba 10 hawajui"" halafu mnakaa nakukosoa wenzenu wanaojulikana tz nzima.....rubbish
 
Ni wimbo wa kawaida kuusikiliza, ila nahisi ni wimbo mtamu zaidi kwa liveband, yote tisa naona kwa mbali kama bolingo hiv angejiongeza kumtafuta fally ipupa au kina jb mpiana wasaidiane kulalamika.
 
Wakati mwingine mtu anaweza kushindwa kumpongeza mtu kwa kuwa tu amefanya vizuri kumzidi yeye au kuzidi rafiki yake
Niseme tu wimbo wa Ally kiba nimeusikiliza kwa mara ya kwanza na sina shaka utafanya vizuri mno
Kazi nzuri kuanzia Audio
Kazi nzuri mpaka kwenye Video

Siku zote nasema Audio nzuri kwanza hata kama video haitakuwa nzuri kwa sababu mimi ni mpezi wa Audio zaidi kuliko Video

Hakika Huu ni Mvumo wa Radi
Hongera sana King kiba
 
Wengi hawajui music, wao wafuata mkumbo tu. Nimesikikiza huu wimbo nimegundua kua Melody ni nzuri, mpangilio wa mashairi ni mzuri, sauti ya muimbaji ni nzuri, video inatazamika na watu wote. Ni kweli huu wimbo IPO ktk style ya maana na Dushelele kwa ila Melody na style ya kuimba haijafanana kabisa tofauti na nyimbo za wasanii wengine unakuta Melody ya wimbo na style zinafanana mfano Kwangwalu na Show me za Harmonize au nyimbo nyingi za Ray van.
 
Wabongo bhana washazoea nyimbo za kwenye vigodoro, inama inama waoneshe unavopiga deki cjui unavochota maji ya kisima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiba hawez kuimba huo upupu ni msanii anaeimba wimbo wa kila rika .. Yaani mvumo wa radi ni mooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom