hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
yaap na hiki ndio kinacho tumaliza wabongo fitna nyingi mpaka kwenye vitu vya msingi "" ule wimbo wa kinanda ulipaswa kumpaisha mnooo mensen lakini masikini wabongo tunajifnya kama hatuusikii"" wimbo mzuri lakini tumeshindwa kumtendea haki Mwenye nao"" support ambayo wimbo ule unaipata haifanani na Hadji/ukubwa/uzuri wake"" ile nyimbo ni balaaaaaa narudia tena ile ngoma ni balaaaaaa"" beat yake inafanana na wimbo wa timaya ft rude boyKinanda ni balaa aisee tatizo bongo uteam usio na faida ni mwingi... napenda music industry ya Nigeria, ukitoa nyimbo tamu lazima itoboe huku davido, huku wizkid mara tekno, huku mr eazi, pale runtown, hapa timaya, kati mzee wa sisi maria pale patoranking bado hujakuana na tiwa, pale yemi alade.
No wonder disco zao ni 90% nyimbo za nyumbani.