Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SalaamSK fundi mitambo ha ha ha hahWimbo unaingia siku ya pili, YouTube viewers laki saba tuu..
NB. Hawakawii kusema Salaam ana-rewind views..
Dada Mange aingilie kati.
Ndo unalijua hilo leo?
Sasa tigo unaliwa wewe leo,bado kigodoro chenu kina laki saba tu teh teh tehSawa jiandae kuliwa tigo juma tatu
Siku ya Tatu tangu kuachiwa kwa Bolingo ya Radi kauli yangu haijakuwa proved wrong.....Still TEAM WCB....bado wimbo una views 781K asitafutwe mchawiHakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCBinafikia wakati tukubali kiba anategemea sana wcb kuendelea kusavaiv kwenye game.
Kulikuwa na tatizo la kutokuongezeka kwa views tangu jana usiku lakini limerekebishwa sasa baada ya kuwasiliana na youtube afrikaSiku ya Tatu tangu kuachiwa kwa Bolingo ya Radi kauli yangu haijakuwa proved wrong.....Still TEAM WCB....bado wimbo una views 781K asitafutwe mchawi
Sikiliza mdogomdogo ya Diamond halafu uone kama Kiba hajacopy kitu kutoka kwenye mdogomdogo!hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
Nonsense!Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB
sa mi inanihusu nini?Kulikuwa na tatizo la kutokuongezeka kwa views tangu jana usiku lakini limerekebishwa sasa baada ya kuwasiliana na youtube afrika