Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Mbona kakimbia vevo? Wataalamu tuambien. Maana Diamond aliingia akaweka wimbo m1 (marry you) nae akakimbia na kurudi Youtube
 
Nasikia mvumo wa radi umekutana na earth wire huko YouTube, na matokeo yake yakawa neutral. Eti ni kweli au maneno ya wachonganishi tu.?
 
Hakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
Siku ya Tatu tangu kuachiwa kwa Bolingo ya Radi kauli yangu haijakuwa proved wrong.....Still TEAM WCB....bado wimbo una views 781K asitafutwe mchawi
 
Diamond ana roho mbaya sana yule, ndio maana kazaliwa Tandale.
 
inafikia wakati tukubali kiba anategemea sana wcb kuendelea kusavaiv kwenye game.
Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB
 
Siku ya Tatu tangu kuachiwa kwa Bolingo ya Radi kauli yangu haijakuwa proved wrong.....Still TEAM WCB....bado wimbo una views 781K asitafutwe mchawi
Kulikuwa na tatizo la kutokuongezeka kwa views tangu jana usiku lakini limerekebishwa sasa baada ya kuwasiliana na youtube afrika
 
hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
Sikiliza mdogomdogo ya Diamond halafu uone kama Kiba hajacopy kitu kutoka kwenye mdogomdogo!
 
Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB
Nonsense!
 
Back
Top Bottom