mbovu sema ilikula promo j moe anasema NISAIDIE KUSHAREhii ngoma sijakuelewa kabisa au nitakuja ielewa mbeleni sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbovu sema ilikula promo j moe anasema NISAIDIE KUSHAREhii ngoma sijakuelewa kabisa au nitakuja ielewa mbeleni sijui
NI KILA SIO KIRAKira mtu na maisha yake
Mi sielewi na wala sitak kuelewa
Waiter zungusha tena bapa na dompo
kanda maalumNI KILA SIO KIRA
HAAAAAAAAAAAAAAAAAkanda maalum
ndio hachelewi kusema natoka madarekulikua na ulazima wa kusema hauna timu???
MZIKI WA POP UMESHUSHWA TOKA MBINGUNI SIO? SO ACHA WATU WAFANYE WANACHO FELL AS LONGER WANA MASHABIKI WANAO PENDA KINACHO FANYWA,mziki wa zamani wa kiafrica yaani hauna kwao na maanisha hakuna taifa ambalo ni muasisi wa afropop" lakini ule mziki mnaoimba nyie unafahamika kabisa kuwa nitrending kutoka Nigeria...na mbunifu wake wa hii tempo ya trending ya mziki wa Nigeria wa sasa ni run town ""upo hapo..?"" tukianza kuzungumzia masuala ya copy hapa tutakesha maana hata mimi na wewe pia tuna copy na kupest "" haya maandishi tunayoyaandika hapa hatukuyabuni sisi ""
Umeongea upupu mtupuKujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo mbali mbali za kudharau watu wengine na kujiona yeye ndio mwamba kitu ambacho kimehaaribu sana muziki wake.
Ikumbukwe ya kwamba Ali Kiba hayupo socially interractive lakini hili pekee sio la kumfanya asiweze kuheshimu wenzake, Naposema huyu hayupo socially interractive ni kwamba sio mtu wa kujichanganya changanya na watu na ndio maana kuna kipindi menejimenti yake ilimwambia ajaribu kupata mashabiki zaidi kupitia kuwa socially interractive, Hatua ya kwanza hii walianza kumfanya Ali Kiba apande dala dala ajimix na watu lakini ilikuwa ni dhahiri kaisa huyu kaka mkubwa alikuwa anavumilia tu kuwemo kwenye dala dala,,,Tizama hapa
Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo mbali mbali za kudharau watu wengine na kujiona yeye ndio mwamba kitu ambacho kimehaaribu sana muziki wake.
Ikumbukwe ya kwamba Ali Kiba hayupo socially interractive lakini hili pekee sio la kumfanya asiweze kuheshimu wenzake, Naposema huyu hayupo socially interractive ni kwamba sio mtu wa kujichanganya changanya na watu na ndio maana kuna kipindi menejimenti yake ilimwambia ajaribu kupata mashabiki zaidi kupitia kuwa socially interractive, Hatua ya kwanza hii walianza kumfanya Ali Kiba apande dala dala ajimix na watu lakini ilikuwa ni dhahiri kaisa huyu kaka mkubwa alikuwa anavumilia tu kuwemo kwenye dala dala maana alikuwa na maozi hatacheki na watu na mashaiki wakitaka kupiga naye selfie anakataa (Anaringa)
Kuna kipindi msanii mwenzake Harmorapa alienda kumpokea airport na alikuwa ame mwandali alikiba t-shirt kaisa lakini unajua kilitokea nini, Unaambiwa ali kiba aliikataa akafunga kioo cha gari ila baada ya muda kidogo inadhaniwa kwamba management yake ilimlazimisha tu aichukue hio t-shirt
Wiki kadhaa zilizopit tulishuhudia live bila chenga msibani, Msanii Diamond alipofika mibanid na kuanza kusalimiana na wenzake kwa heshima ya kupeana mkono kwa mkono hali ilikuwa tofauti kwa Ali kiba ambae alitoa kiganja pale alipopewa mkono wa salamu, Hili tukio lilikuwa ni wazi kabisa kaka braza ana dharau mno