Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

We hakuna kitu unajua umekariri story za waramba lips.
Watu wanajenga wanadrive, wanalea familia kupitia Hip hop, Haya nambie B2K atamzid Farid vibunda?
Kweli sijui, ila unaweza nielezea kwa sasa hapa Nchini ni jinsi gani hawa waimba Hip hop wanavyotengeneza fedha za kutosha kupitia kazi zao?.

Wenzao wabana pua tunaona jinsi wanavyopiga show za kutosha, ukiangalia viewers kwenye social platforms zinasoma vizuri n.k
 
Hivi kwa nn kuna uhusiano mkubwa kati ya ganja+ hiphop+pombe kali+madawa+uhalifu. why.. mana kuna mwanangu mmoja nilimtembelea yaan anakula ile kubwa na konyag pembeni kila muda anamskiliza conboi cannabino kwani shida iko wap?
Huo mziki wali u brand design hiyo enz, ndi za uanzilishi wake huko marekani ili vijana waharibike hasa black kwa vile ndo ulikuw mziki wao ndo maana mabifu na kupigan risasi hakuishi
 
Hivi kwa nn kuna uhusiano mkubwa kati ya ganja+ hiphop+pombe kali+madawa+uhalifu. why.. mana kuna mwanangu mmoja nilimtembelea yaan anakula ile kubwa na konyag pembeni kila muda anamskiliza conboi cannabino kwani shida iko wap?
Hamna uhusiano. Rapper Mase unamjua?
 
Kweli sijui, ila unaweza nielezea kwa sasa hapa Nchini ni jinsi gani hawa waimba Hip hop wanavyotengeneza fedha za kutosha kupitia kazi zao?.

Wenzao wabana pua tunaona jinsi wanavyopiga show za kutosha, ukiangalia viewers kwenye social platforms zinasoma vizuri n.k
Me nafikiri tunayapima mafanikio ya mtu kws kuangalia alipotoka alipo na anapokwenda wala si kwa kumlinganisha na watu wengine kwa maana kila mtu ana background yake, nyenzo (back up) yake na matumiz tofauti.
 
Huu mziki bongo Bora uuze genge haulipi kabisa ni miziki njaa bongo eti utasikia msanii ansema anakomboa mtaa wakati yeye mwenyewe kashindwa kujikomboa mziki huh tanzania haulipi
 
Una-Inspire mkuu!!

Hata kama tunaouelewa ni wachache ila atleast kuna Numbers wanapata.
Huo mziki kama unafanya Kwa kujifurahisha sawa ila sio kutoboa upate mafanikio ya maana kwenye mziki na maisha yaani Bora msanii achanganye awe kama Chris brown ila sio kutumia kwenye rap tupu bongo hii
 
Sahihi, Hiphop hailipi sababu haina mashabiki.

Lakini ni mziki ambao unahamasisha na kutia moyo sana katika kupambania Life.
 
Back
Top Bottom