Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

Hilo ni punga na linaimba rap music na limefanikiwa ki mziki kidunia huo ni mfano
Infact, Mimi huwa nazingatia maudhui ya nyimbo sio hali ya Muimbaji.

Siwezi kuacha kisikikiza nyimbo ya Michael Jackson "Man in the Mirror" sababu alibadili jinsia wakati nyimbo ina-Inspire changes.

Hii baadhi ya mistari yake:

If you wanna make the world a better place 🎶 Take a look at yourself and make a change 🎶

Au ile "Will you be there".

Huyo Lil nas X unayemtaja mimi sio Fan wake sababu hana nyimbo ambayo inamaudhui yenye kujenga, Zote ni za usengerema sengerema tu.

Kile kinachonijali ni akili ya ndani!!

Ninavutiwa zaidi na mawazo ya mtu, moyo wake na jinsi anavyoitazama dunia.

Hicho ndicho kinachonifanya mimi nimpe thamani mtu na Sio kuangalia muonekano wa nje pekee!!

CC: My wife Qashy Lilith 🥰 ananijua vyema.
 
So huwa unasikiliza mimbo ya aina gani ambayo tuseme haibebi nguvu hasi?
 
Tatizo hizi ni sisi wachache ndio tu tunaoelewa ujumbe
Lakini hela ya kuuuza inatoka kwa waporipori na washamba wa muziki ndio maana wakata mauno kina dayamodi wanashinda
 
Infact, Mimi huwa nazingatia maudhui ya nyimbo sio hali ya Muimbaji.

Siwezi kuacha kisikikiza nyimbo ya Michael Jackson "Man in the Mirror" sababu alibadili jinsia wakati nyimbo ina-Inspire changes.

Hii baadhi ya mistari yake:

If you wanna make the world a better place 🎶 Take a look at yourself and make a change 🎶

Au ile "Will you be there".

Huyo Lil nas X unayemtaja mimi sio Fan wake sababu hana nyimbo ambayo inamaudhui yenye kujenga, Zote ni za usengerema sengerema tu.

Kile kinachonijali ni akili ya ndani!!

Ninavutiwa zaidi na mawazo ya mtu, moyo wake na jinsi anavyoitazama dunia.

Hicho ndicho kinachonifanya mimi nimpe thamani mtu na Sio kuangalia muonekano wa nje pekee!!

CC: My wife Qashy Lilith 🥰 ananijua vyema.
Kama bado unasikiliza miziki ya kidunia Kwa kujifany1 mtakatifu huna unalofanya
 
Infact, Mimi huwa nazingatia maudhui ya nyimbo sio hali ya Muimbaji.

Siwezi kuacha kisikikiza nyimbo ya Michael Jackson "Man in the Mirror" sababu alibadili jinsia wakati nyimbo ina-Inspire changes.

Hii baadhi ya mistari yake:

If you wanna make the world a better place 🎶 Take a look at yourself and make a change 🎶

Au ile "Will you be there".

Huyo Lil nas X unayemtaja mimi sio Fan wake sababu hana nyimbo ambayo inamaudhui yenye kujenga, Zote ni za usengerema sengerema tu.

Kile kinachonijali ni akili ya ndani!!

Ninavutiwa zaidi na mawazo ya mtu, moyo wake na jinsi anavyoitazama dunia.

Hicho ndicho kinachonifanya mimi nimpe thamani mtu na Sio kuangalia muonekano wa nje pekee!!

CC: My wife Qashy Lilith 🥰 ananijua vyema.
Anaebisha aniulize kukuhusu
CC: myMan Ibn Unuq💗
 
Samahan we unasikiliza na huwa huelewi, jamaa kauliza swali nyimbo 5 za konde zinazohamasisha bangi. Umekuja na essay kubwa kuelezea reggae au country songs, hakuna mziki unafundisha kila kitu kuzidi hip hop hii dunia.

R&b ni mapenz
Hip hop elimu
Reggae uhuru na aman
Kwaya Mungu
Nilizosahau utamalizia
Infact sio kila msanii huimba kitu sahihi wakati wote, Kuna muda iwe HIPHOP au R&B wote tu huwa wanaimba vitu visivyo na mantiki.

Hata huyo harmonize anangoma zinazohamasisha kufanya mabaya na zinazohamasisha kufanya mazuri.

Kikubwa ni wewe binafsi kuhakikisha unasikiliza kitu chenye kukuhamasisha na kukujenga.

Binafsi nasikiliza HIPHOP kwasana sababu huko mara nyingi wanaimba vitu positive 🧠

Lakini pia nasikiliza sana Country music, Zilpendwa na Reggae
 
Samahan we unasikiliza na huwa huelewi, jamaa kauliza swali nyimbo 5 za konde zinazohamasisha bangi. Umekuja na essay kubwa kuelezea reggae au country songs, hakuna mziki unafundisha kila kitu kuzidi hip hop hii dunia.

R&b ni mapenz
Hip hop elimu
Reggae uhuru na aman
Kwaya Mungu
Nilizosahau utamalizia
Mkuu zingatia hii point yangu kwanza kwenye maelezo uliyo ni quote. 👇👇

Binafsi nasikiliza HIPHOP kwasana sababu mara nyingi wanaimba vitu positive 🧠.

Chapili mimi kuandika maelezo mengi ni personal desicions, Don't judge me.

Tatu kuhusu Kondeboy kuhamasisha bangi kwenye nyimbo zake ni utani that's why nikaweka kile kikohozi na Emoji ya 😆, Nani asiyejua kwamba Hiphop ndiyo inaongoza kunahamasisha zaidi kuvuta bangi na kuonyesha ni kama sehemu ya kutuliza akili?

Kama unaijua hiphop vizuri, Historia yake, Waanzilishi na nguzo za hiphop basi utakua unaelewa kwanini rappers wengi ni Wavuta bangi.

Problem is yo're not taking things seriously.

Kwa maelezo hayo, Infact hujui genre za mziki, Hebu nikupe mwanga kidogo:

Mziki wa R&B ni mziki ambao hugusa hisia za aina tofauti iwe Mapenzi, Huzuni au Hamu ya mafanikio.

si lazima uhusiane na Mapenzi - Kasikilize Maneno au Bado kidogo zote za Benpol kama utasikia mapenzi humo nicheki nikutumie elfu10.

Tatizo mada zinazopendwa sana ni za Mapenzi na ngono ngono that's why R&B imetawaliwa na Mapenzi na Ngono tupu kwasababu za kiuchumi.

Wahenga walisema fuata nyuki ule asali.

Lakini pia Mziki wa Reggae ni mziki ambao unagusia sehemu nyingi si lazima uhamasishe amani pekee 👇👇
Screenshot_20250123-152302~2.png
Mapenzi pia yanaweza imbwa kwenye reggae, Fungua link hiyo utakutana na ngoma 50 za mapenzi za reggae ambazo hakuna kuhamasisha amani kama unavyodai bali ni Mapenzi tu.

View: https://open.spotify.com/album/65rNNllspZfeYF2jdylzzf

Ninachokiona hapa unachanganya kati ya Imani ya Rastafatian na Mziki wa Reggae!!

Kwa taharifa yako hata kwaya si lazima ziwe nyimbo za Mungu tu, Tatizo ume claim 👇
Screenshot_20250123-152824~2.png

Kuhusu HIPHOP pia sio mziki wa kuinspire Positive tu, Kuna ngoma za Hiphop kali beat tu ndani umeimbwa upuuzi tu au mda mwingine matusi tupu tena zipo mpaka Hiphop za Mapenzi huamini;

Kasikilize hizi ngoma:

•Dizasta Vina - Fallen angel. 🎶
•Sugu - Hayakua mapenzi. 🎶
•Chindoman ft Watengwa - Haikupangwa. 🎶
•Godzilla - Milele. 🎶
•Fidq ft Cristian bella - Roho. 🎶
•Joh Makini ft Baraka the prince - Permanent love. 🎶
•Dah remix. 🎶

Infact unaandika usichokijua, Huna uelewa wa kutosha kuhusu Genre za muziki.

CC: Monetary doctor
 
Back
Top Bottom