Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

Ngoma ni kali ila kibongo bongo kutoboa kwa music ya aina hii ni ngumu
 
Una-Inspire mkuu!!

Hata kama tunaouelewa ni wachache ila atleast kuna Numbers wanapata.
Binafsi huwa naunga mkono harakati nikipata chochote, mfano hii album sijwahi kujutia kuinunua

1000021122.jpg
 
Sahihi, Hiphop hailipi sababu haina mashabiki.

Lakini ni mziki ambao unahamasisha na kutia moyo sana katika kupambania Life.
Hamna mziki wowote tu unahamasisha mfano harmonize vijana wengi wamehamasika kupambania na maisha bila kukatatamaa kupitia yeye maisha yake aliyotokea na mziki wake ni wa kuimba sio rap
 
Sahihi kila mziki unahamasisha.

Tena miziki kama Singeli au hii yakina Diamond, Marioo na Alikiba inahamasisha sana Ngono, kubeti na kuchagua mke kwa kigezo cha urembo wao wa nje.

Hata Mziki wa Konde unahamasisha sana kuvuta bangi.
 
Mzee unafuatilia rap ya USA ambapo ndio wenye mziki wao
 
Unaweza kunitajia ngoma 5 za harmonize zinazohamasisha bangi
Infact sio kila msanii huimba kitu sahihi wakati wote, Kuna muda iwe HIPHOP au R&B wote tu huwa wanaimba vitu visivyo na mantiki.

Hata huyo harmonize anangoma zinazohamasisha kufanya mabaya na zinazohamasisha kufanya mazuri.

Kikubwa ni wewe binafsi kuhakikisha unasikiliza kitu chenye kukuhamasisha na kukujenga.

Binafsi nasikiliza HIPHOP kwasana sababu huko mara nyingi wanaimba vitu positive 🧠

Lakini pia nasikiliza sana Country music, Zilpendwa na Reggae.
 
Infact sio kila msanii huimba kitu sahihi wakati wote, Kuna muda iwe HIPHOP au R&B wote tu huwa wanaimba vitu visivyo na mantiki.

Hata huyo harmonize anangoma zinazohamasisha kufanya mabaya na zinazohamasisha kufanya mazuri.

Kikubwa ni wewe binafsi kuhakikisha unasikiza kitu chenye kukuhamasisha na kukujenga.

Binafsi nasikiliza HIPHOP kwasana sababu huko mara nyingi wanaimba vitu positive 🧠

Lakini pia nasikiliza sana Country music, Zilpendwa na Reggae.
Mziki ni mziki tu
 
Ungesikiliza kwaya na kaswida ningekuona kweli umeamua kumsikiliza mziki usiokua na matusi ila hip hop ndio kinara wa matusi
Qoir na Qaswida hiyo ni Miziki ya watu wa dini mkuu.

Anyway nashukuru kwa muda wako.

👊🏾✊🏿👍🏾
 
Back
Top Bottom